Mkutano wa maridhiano wa vyama vya siasa wameridhiana nini au ni siri?

Naunga hoja ni ujambazi na utapeli, nitabakia na msimamo huu hadi sheria zibadilike tuone kama sasa zinareflect haki na demokrasia. Maridhiano bila ya mabadiliko sheria, hii imekaaje ?
 
Mabavicha bhana..

Mmesusa ila bado mnataka mpewe taarifa kilichojadiliwa!

[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Kilichoridhiwa anajua zito, mpaka kuamua kuunga juhudi za mama
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]CCM na ACT MBONA NI CHAMA KIMOJA HICHO ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…