Pre GE2025 Mkutano wa Saashisha Mafuwe Mbunge wa Hai wahudhuriwa na watu wachache

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii yaweza kuwa rekodi ya Dunia ya mikutano hafifu ya hadhara iliyotia aibu ya Mahudhurio, Haijulikani Mbunge kama Huyu alipataje watu wa kumchagua.

Akihutubia mkutano huo duni, huku akitetemeka, Mh Saashisha Mafuwe amewaomba wananchi kuendelea kuingua mkono ccm huku akimshutumu Mbowe kwa Kutukana serikali.

Screenshot_2024-07-23-00-34-20-1.png
Screenshot_2024-07-23-00-35-56-1.png
Screenshot_2024-07-23-00-34-57-1.png
Screenshot_2024-07-23-00-34-37-1.png
 
Hii yaweza kuwa rekodi ya Dunia ya mikutano hafifu ya hadhara iliyotia aibu ya Mahudhurio, Haijulikani Mbunge kama Huyu alipataje watu wa kumchagua.

Akihutubia mkutano huo duni, huku akitetemeka, Mh Saashisha Mafuwe amewaomba wananchi kuendelea kuingua mkono ccm huku akimshutumu Mbowe kwa Kutukana serikali.

View attachment 3049570View attachment 3049571View attachment 3049572View attachment 3049573
Fisasiii mkuuu huyu siku zake zahesabikaaa muda utaongea hilo LC 300 amelipa 350mil kuwapumbaza wachaga khaaaa watakuwa wajingaaa
 
Hii yaweza kuwa rekodi ya Dunia ya mikutano hafifu ya hadhara iliyotia aibu ya Mahudhurio, Haijulikani Mbunge kama Huyu alipataje watu wa kumchagua.

Akihutubia mkutano huo duni, huku akitetemeka, Mh Saashisha Mafuwe amewaomba wananchi kuendelea kuingua mkono ccm huku akimshutumu Mbowe kwa Kutukana serikali.

Wewe mwenyewe umesema kuelekea 2025 , na hapo miaka 3 ulikuwa hauonekani
 
Hii yaweza kuwa rekodi ya Dunia ya mikutano hafifu ya hadhara iliyotia aibu ya Mahudhurio, Haijulikani Mbunge kama Huyu alipataje watu wa kumchagua.
Mkuu, acha kutufanya sisi sote kama nyumbu. Wewe picha ya umati wote kwa mbali tuone. Unachukua picha za vipande vidogodogo vya watu waliokaa halafu unataka tukuamini?
Nimeshakuambia wewe ni katibu wa uenezi wa chadema mitandaoni, uwe more realistic than the other nyumbus.
Btw, tuko kwenye issue ya kutumbuliwa Nape na Makamba, usitutoe kwenye reli.
 
TUWE WENGI AU WACHACHE HAINA MAANA YOYOTE, TUNACHOANGALIA NI ALAMA ZA MAENDELEO ZINAZOACHWA NA KULINGANISHA KUPATA YUPI BORA!ILI TUMPE KURA ZETU
 
Saashisha anaaga wananchi tu, 2025 mwenye Jimbo lake anarudi.
 
Back
Top Bottom