Pre GE2025 Mkutano wa Saashisha Mafuwe Mbunge wa Hai wahudhuriwa na watu wachache

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii yaweza kuwa rekodi ya Dunia ya mikutano hafifu ya hadhara iliyotia aibu ya Mahudhurio, Haijulikani Mbunge kama Huyu alipataje watu wa kumchagua.

Akihutubia mkutano huo duni, huku akitetemeka, Mh Saashisha Mafuwe amewaomba wananchi kuendelea kuingua mkono ccm huku akimshutumu Mbowe kwa Kutukana serikali.

Mbona ametanua kinywa kama vile anahutubia maelfu uwanja wa taifa
 
Hii yaweza kuwa rekodi ya Dunia ya mikutano hafifu ya hadhara iliyotia aibu ya Mahudhurio, Haijulikani Mbunge kama Huyu alipataje watu wa kumchagua.

Akihutubia mkutano huo duni, huku akitetemeka, Mh Saashisha Mafuwe amewaomba wananchi kuendelea kuingua mkono ccm huku akimshutumu Mbowe kwa Kutukana serikali.

... AONGEZE UCHAWA, ... LABDA ATAKWAA UKUU WA WILAYA!
😅
 
Hii yaweza kuwa rekodi ya Dunia ya mikutano hafifu ya hadhara iliyotia aibu ya Mahudhurio, Haijulikani Mbunge kama Huyu alipataje watu wa kumchagua.

Akihutubia mkutano huo duni, huku akitetemeka, Mh Saashisha Mafuwe amewaomba wananchi kuendelea kuingua mkono ccm huku akimshutumu Mbowe kwa Kutukana serikali.

NDIYO MAANA KAHAB@ MJALAANA ANATEMBEA NA WATU WAKE NA MAGARI ZAIDI YA 400.
 
Sisi Wasukuma, ukioa mahali ndio umefika, nakwenda Uchagani na kuishi huko kuliko Usukumani!. Mimi ni mkazi wa Moshi, na nimeisha gaiwa na kihamba!, uchumi wa Maza ukikaa sawa nashusha kitu!.
P
Mkuu na channel 10/TCRA una mwachia nani? mwenzetu toka umekuwa chawa damu inakurukia rukia kidogo si haba, sijui kwanini Lucas Mwashambwa yeye hakumbukwi
 
Back
Top Bottom