Ni bahati mbaya sana umenijua wakati nimeisha poa, nimeanza uandishi na utangazaji mwaka 1990, mwaka 1995-2000 nimeendesha kipindi kinaitwa Kiti Moto, ulikuwa ukikikalia ni cha moto kweli, 2000- 2010 nikafanya mambo mengine, hivyo by the time wewe unanijua, umenikuta tayari mimi ni Mzee Pasco, hivyo sasa naandika kizee na kuzungumza kwa busara, sijawahigi kukengeuka, bali busara zimeongezeka, wasio na uwezo to read in between the lines, hawanisomi kabisa, ndio akina nyie mnaodhani nimefika bei!. Mimi sina bei, I'm not for sale, bei yangu ni priceless, sinunuliki, hata wewe ukikukua kua zaidi kiakili ukapata uwezo wa to read in between the lines utanielewa.
The strong man in the world is the one who can stand alone, hivyo mimi naendelea kusimama na kile ninachokiamini hata kama ni kusimama peke yangu, na sina wasiwasi kabisa na wanaonishusha watakuja kunielewa tuu.
P