Pascal wewe ni mtu mwenye Elimu ya utambuzi inayoweza kukusaidia kutuambia kipi ni propaganda na ukweli ni upi.Nyie watu mbona ni wazito sana kuelewa?, Mbona Nape ameishasema kila kitu, kuwa CCM ndio inaamua ishinde wapi na wapi iachie!. Mwenyekiti Mbowe ameutambua uwezo huo wa CCM na ameukubali, hivyo akakaa mezani na CCM na kuamua kugawana mkate, kila mmoja apate nusu mkate. Hivyo kuna majimbo CCM imekubali kuyaachia kuwagaiya wapinzani kwenye kugawana nusu mkate. Jimbo la Hai ni moja ya majimbo hayo, hivyo Saasisha hatapitishwa kipindi cha pili ili Jimbo liende upinzani.
Ila TL hakubaliani na utaratibu huo wa kugawana nusu mkate, anawaita wenzake wajinga!. Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
P
Unaamini kuwa My.Mbowe anaweza kufanya makubaliano ya namna hiyo?
Unaweza kutuambia hayo Majimbo yatakayoenda upinzani?