Pre GE2025 Mkutano wa Saashisha Mafuwe Mbunge wa Hai wahudhuriwa na watu wachache

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Pascal wewe ni mtu mwenye Elimu ya utambuzi inayoweza kukusaidia kutuambia kipi ni propaganda na ukweli ni upi.
Unaamini kuwa My.Mbowe anaweza kufanya makubaliano ya namna hiyo?
Unaweza kutuambia hayo Majimbo yatakayoenda upinzani?
 
Unaamini kuwa My.Mbowe anaweza kufanya makubaliano ya namna hiyo?
Unaweza kutuambia hayo Majimbo yatakayoenda upinzani?
Kuna vitu kila mwenye macho anaona, issue ya nusu mkate sio issue ya kiimani kuniuliza kama ninaamini anaweza kufanya makubaliano kama hayo, in politics everything is possible!, hakuna mkate mgumu mbele ya chai, mkate hata uwe mgumu vipi, mbele ya chai, utalainika tuu!. Siasa za Kijungu Jiko, Penye Uzia, Penyeza Rupia!. Hakuna Mkate Mgumu Mbele ya Chai!, Hata Uwe Mgumu Vipi, Mbele ya Chai/Rupia, Lazima Utalainika!
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…