Kiswahili kilipaswa kuwepo hapoWakuu,
Haya ndio maazimio ya mkutano wa SADC na EAC kuhusu mgogoro wa DRC, na moja ya walichoazimia ni Mkutano wa SADC na EAC waazimia kuondoa vikosi vya kigeni visivyoalikwa katika ardhi ya DRC.
Pia soma: Dar: Rais Samia akishiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa EAC na SADC Februari 8, 2025
View attachment 3229429View attachment 3229430View attachment 3229431View attachment 3229432View attachment 3229433
View attachment 3229434
Maazimio mazuri. Je sasa Kagame akiendeleza hila zake hataki kutoka DRC itakuaje? Kiburi chake kitamponza maana itabidi vita apigwe.Wakuu,
Haya ndio maazimio ya mkutano wa SADC na EAC kuhusu mgogoro wa DRC, na moja ya walichoazimia ni Mkutano wa SADC na EAC waazimia kuondoa vikosi vya kigeni visivyoalikwa katika ardhi ya DRC.
Pia soma: Dar: Rais Samia akishiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa EAC na SADC Februari 8, 2025
View attachment 3229429View attachment 3229430View attachment 3229431View attachment 3229432View attachment 3229433
View attachment 3229434
Utekelezaji wa hayo maazimio ndio kipengele.Wakuu,
Haya ndio maazimio ya mkutano wa SADC na EAC kuhusu mgogoro wa DRC, na moja ya walichoazimia ni Mkutano wa SADC na EAC waazimia kuondoa vikosi vya kigeni visivyoalikwa katika ardhi ya DRC.
Pia soma: Dar: Rais Samia akishiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa EAC na SADC Februari 8, 2025
View attachment 3229429View attachment 3229430View attachment 3229431View attachment 3229432View attachment 3229433
View attachment 3229434
M 23 ni wakongomani....wanawezaje kuwaalika MAJESHI YA KIGENI ?!!Vipi kama hivyo vikosi vya kigeni vimealikwa na AFC/M23?
Kipengele haswa.....Utekelezaji wa hayo maazimio ndio kipengele.
Kwanini vichekesho?!!Vichekesho tupu bora rais wa Congo hakwenda
Tshisekedi kazi anayo.....nimetafakari sana, naamini imefika mahali tuwaulize wananchi wenyewe wa Goma na Bukavu, wanataka nini, wanataka kinshasa au wanataka wajitegemee? tukipata idadi kubwa ya raia wa eastern congo wanataka kujitawala, basi tisekeli anatakiwa kufyata mkia. kuachia ardhi inauma ila itabidi avumilie maumivu kama alivyovumilia msudani.
Vikao vya wakuu wa SADC-EAC vinahitaje uwakilishi wa WAKONGOMANI M 23?!!!Kiswahili kilipitishwa na AU kama lugha ya mawasiliano, lakini mwisho nimeona DONE kwa lugha zingine pasipo kiswahili tatizo nini?
Pili sijapenda walivyoa mua, wamefunika kombe mwanaharamu apite. Mbona sikuona Muwakilishi wa M23 au ndio Kagame na Museveni?
Mipaka ya Kongo iheshimike, Kivu na Goma ni sehemu ya DRC siyo uwanja wa vita, M23 wakubali kuishi DRC kwa masharti ya DRC siyo masharti yao.
Kuwaacha M23 bila kuwaonya nikama wameogopwa, au taarifa ilipunguza maongezi yaliyokuwepo?
Anyway tusubiri mengine labda hii ilikuwa supu ya kupasha matumbo, tusubili nyama.
Kwani mgogoro unahusu nini au nani na nani?Vikao vya wakuu wa SADC-EAC vinahitaje uwakilishi wa WAKONGOMANI M 23?!!!
M 23 wakakae mezani na ndugu yao Tshisekedi......
Sawa.....Kwani mgogoro unahusu nini au nani na nani?
Mi ninadhani M23 ni wadau wakubwa kwenye huo mkutano, sasa bila kuwasikiliza wao unafikiaje maamuzi ya kusitisha vita, ikiwa wao ndio wanapigana na DRC?
... lakini sio wanajeshi wa Kenya, Uganda na Rwanda!Majeshi yasiyoarikwa na congo si ndio jeshi la Rwanda?
Pia wakuu wa majeshi kukutana ndani ya siku Tano unafikili watakutana kunywa chai? Tarajia kutumwa kwa maelfu ya wanajeshi Kwenda Goma