Mkutano wa SADC na EAC waazimia kuondoa vikosi vya kigeni visivyoalikwa katika ardhi ya DRC

Serikali ya DRC imeshindwa KUWANYANG'ANYA silaha na KUWAPIGA M 23....

Majeshi ya nchi za kigeni yatapiganaje na raia wa kikongomani wenye silaha(M 23)?!!!
Ok sasa hayo majeshi ya SADC yanafanya nini huko Mashariki mwa DRC?

Mi nilidhani sababu kuu ni ku prempty mapigano?

Yapo majeshi na vita vinapiganwa hiyo amani gani sasa wanalinda, au wanachukua posho tu hayo mengine tutajijua wenyewe?

Ikiwa ahayana kazi kuna sababu gani wa Majeshi hayo kujirundika huko, ikiwa mapigano yapo na wananchi wanauwawa kwa maelfu?

Au kulinda amani kukoje?

Hawa nchi za SADC haswa ndio wanapaswa kuzuia na kuingilia kati wakiacha hivyo, sioni maana ya wao kukutana bila kuwa na maamuzi?
 
Hawajatibu tatizo la Rwanda Kwa Ku neutralize FdLR wakati Mkataba wa Amani wa Arusha, haujatekelezwa kutambua Haki za "Wahutu" itakuwa ni kuwapa kiburi na Haki walio wachache kuwa juu ya walio wengi
 
Hahaha hao SADC wao ni Wenyeji huko mashariki ya DRC?

Au wageni wanamaanisha wazungu?
 
Dunia lazima iongozwe na wababe wachache iili kulinda maslahi ya wengi, ndio maana US ni mbabe wa dunia lakini kwa maslahi ya bara la America, Europe, Israel na nchi chache rafiki. China ni mbabe wa Asia, Ndio maana US ameshindwa na hawezi kumvamia mapanki, ni hofu ya China, waarabu hawana mbabe mmoja ndio maana Wana Vita zisioisha hadi US aamue kuwasaidia

Shida Africa hakuna mbabe wa kusikilizwa, kila mmoja ana sharubu, Angalau Mwl alijaribu zamani, sasa hivi kiongozi gani atamwambia mwenzake acha na akasikia?
 
Hivi una akili timamu kweli?
 
Yaani Kagame kawapiga kijeshi, kawafuata Dar kawapiga kidiplomasia, atakuwa sasa hivi anacheeka

..Na tumempokea uwanja wa ndege kwa vikundi vya ngoma na maturumbeta, tukamkaribisha mpaka Ikulu kwa tabasamu na bashasha tele.
 
Mh. Wasira πŸ˜‚πŸ€—πŸ€—πŸ€— akiendelea kuwa alivyo.. Atawavutia wengi kufatilia siasa zao pia


Ila Makonda bado ni namba one, kuvutia na kusikiliza. Wanamuhitaji sanaaaaa kwa mengi


Kazi iendeleeee
Kituko Kile kimvutie nani, vijana wanavutiwa na vijana wenzao co wazee wastaafu
 
Sidhani kama walinyang'anywa huo uraia. tatizo wanataka kuongoza Congo na kuiba madini bila utaratibu.
Yani hao wanainufaisha Rwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…