PostGE2025 Mkutano wa Samia na Wazee Desemba 2 anaenda kutoa bonge la Boko litakalotia Vijana ndimu watoke Disemba 9

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,148
Reaction score
2,032
Walahi washajaa kwenye mfumo hawa. Hehee! Walahi sikujua ingejuwa hivi Nye Nye. Vijana morali iko juu mawinguni. Waasubiri Siku ya Jambo lao.

Sasa huyu samuya Kesho naambiwa anaenda kutoa bonge la boko walahi yachekesha si mazuri. Yaani waambiwa hutuba yake itawatia ndimi gen z. Boko kama boko.

Watu wabaya Nye. Tayari washamuingiza mkenge wanamharibia zaidi awe tegemezi kwaom. Hehee! Na bado! Askofu atatoka D6 kama winga wa kulia kisha D8 kuna suprise ndogo kama kishika uchumba. Mayi na bado.
 
Acha azidi kuuchochea moto
 
Kwani la sasa ni chacha au chaka chaka?
 
Tena itakuwa vizuri zaidi akitoa kichwani asisome ya kuandikiwa.

Maana ya kuandikiwa inaweza kuwa na akili za watu kidogo ukitaka Boko linoge atoe kichwani kwake mwenyewe live and direct.
 
Tena itakuwa vizuri zaidi akitoa kichwani asisome ya kuandikiwa.

Maana ya kuandikiwa inaweza kuwa na akili za watu kidogo ukitaka Boko linoge atoe kichwani kwake mwenyewe live and direct.

Hehee! Miye simo. Walahi nafumba macho. Huyu namjua kwa kutoa boko.
 
Kataa maandamano.

Hatutaki Maandamano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…