PostGE2025 Mkutano wa Samia na Wazee Desemba 2 anaenda kutoa bonge la Boko litakalotia Vijana ndimu watoke Disemba 9

PostGE2025 Mkutano wa Samia na Wazee Desemba 2 anaenda kutoa bonge la Boko litakalotia Vijana ndimu watoke Disemba 9

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Walahi washajaa kwenye mfumo hawa. Hehee! Walahi sikujua ingejuwa hivi Nye Nye. Vijana morali iko juu mawinguni. Waasubiri Siku ya Jambo lao.

Sasa huyu samuya Kesho naambiwa anaenda kutoa bonge la boko walahi yachekesha si mazuri. Yaani waambiwa hutuba yake itawatia ndimi gen z. Boko kama boko.

Watu wabaya Nye. Tayari washamuingiza mkenge wanamharibia zaidi awe tegemezi kwaom. Hehee! Na bado! Askofu atatoka D6 kama winga wa kulia kisha D8 kuna suprise ndogo kama kishika uchumba. Mayi na bado.
Anajiabisha sana.
 
Tena itakuwa vizuri zaidi akitoa kichwani asisome ya kuandikiwa.

Maana ya kuandikiwa inaweza kuwa na akili za watu kidogo ukitaka Boko linoge atoe kichwani kwake mwenyewe live and direct.
Kwa majibu yake ina onyesha alikuwa muimba taarab enzi hizo.

maana pumba alizo tema ni nyimbo ya vijembe na mashangingi.
 
Umesikia?

Upande huu naamka nasikia kamaliza wanamsema "makofi kwa rais". Nikasema afadhali I missed this shit live.
Ilikuwa hotuba nzuri yemye kuonyesha mamlaka baada ya ile tafrani.

Yeyote aliyekuwa anategemea Serikali ijidogoshe dhidi ya wale waharibifu wa miundombinu na wezi alikuwa hajui maana ya Serikali
 
Back
Top Bottom