The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Ilikuwa hotuba nzuri yemye kuonyesha mamlaka baada ya ile tafrani.
Yeyote aliyekuwa anategemea Serikali ijidogoshe dhidi ya wale waharibifu wa miundombinu na wezi alikuwa hajui maana ya Serikali
Kwamba Serikali ya Tanzania ni bora kuliko ya Kenya, Iliyo amua kuvunja baraza la Mawaziri baada ya seke seke la maandamano?
Lazima tujue tunaongoza kwa niaba ya Wananchi, Sasa kama wananchi wanasema hv na wewe unasema vile, Badala ya kufikiri maendeleo utakua unafikiri kunyamazisha watu day n night