PostGE2025 Mkutano wa Samia na Wazee Desemba 2 anaenda kutoa bonge la Boko litakalotia Vijana ndimu watoke Disemba 9

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Walahi washajaa kwenye mfumo hawa. Hehee! Walahi sikujua ingejuwa hivi Nye Nye. Vijana morali iko juu mawinguni. Waasubiri Siku ya Jambo lao.

Sasa huyu samuya Kesho naambiwa anaenda kutoa bonge la boko walahi yachekesha si mazuri. Yaani waambiwa hutuba yake itawatia ndimi gen z. Boko kama boko.

Watu wabaya Nye. Tayari washamuingiza mkenge wanamharibia zaidi awe tegemezi kwaom. Hehee! Na bado! Askofu atatoka D6 kama winga wa kulia kisha D8 kuna suprise ndogo kama kishika uchumba. Mayi na bado.
Ulikuwa mbele ya muda sio kwa hotuba hii duh!!
 
Nilikuwa najua ataharibu, Ila sio kwa kiwango hiki. Aibu.
 
Sema kuna vigogo wanamchezesha samia ngoma yao
 
Back
Top Bottom