Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,818
- 14,585
Kwanini usimuue mtu anachoma petrol station? Mbona mnampa Mungu hata kazi ambazo sisi wenyewe tunaweza?.Baba hzo zote siasa..... Bra bra bra lakini kwa kuuwa raia haikubaliki ata kidini mwenye haki ya kutoa uhai wa mtu ni Muumba tu
Yaani unatetea MAHAYAWANI wa kuchoma petrol stations, police posts. mabasi ya mwendokasi??
Wewe ni wa shetani basi