PostGE2025 Mkutano wa Samia na Wazee Desemba 2 anaenda kutoa bonge la Boko litakalotia Vijana ndimu watoke Disemba 9

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Walahi washajaa kwenye mfumo hawa. Hehee! Walahi sikujua ingejuwa hivi Nye Nye. Vijana morali iko juu mawinguni. Waasubiri Siku ya Jambo lao.

Sasa huyu samuya Kesho naambiwa anaenda kutoa bonge la boko walahi yachekesha si mazuri. Yaani waambiwa hutuba yake itawatia ndimi gen z. Boko kama boko.

Watu wabaya Nye. Tayari washamuingiza mkenge wanamharibia zaidi awe tegemezi kwaom. Hehee! Na bado! Askofu atatoka D6 kama winga wa kulia kisha D8 kuna suprise ndogo kama kishika uchumba. Mayi na bado.
We mtu SALUTE! 🫡
 
😂😂😂😂 Asalamaleku bwana yesu asifiweee mielele amina amen
 
Huyu siku zote anaandika ukweli 98%. Tatizo anahama timu kila baada ya siku chache.
Mara GenZ+Redcross 26 mara Mchambawima+Wahauni (The Cabal )
Ana hama hama kama vpn...... Sema jamaa atakuwa ntu nyeti lazima uvpn awe nao
 
Samia ana hekima na busara sana. Kama umemsikiliza mwanzoni amesema yeye ndiye aliwaleta akina Lissu na Lema waliokuwa nje kama wakimbizi. Akaanzisha 4R lakini hao hao akina Lissu wakawa ndiyo wa kwanza kumtukana
Baba hzo zote siasa..... Bra bra bra lakini kwa kuuwa raia haikubaliki ata kidini mwenye haki ya kutoa uhai wa mtu ni Muumba tu
 
Tena itakuwa vizuri zaidi akitoa kichwani asisome ya kuandikiwa.

Maana ya kuandikiwa inaweza kuwa na akili za watu kidogo ukitaka Boko linoge atoe kichwani kwake mwenyewe live and direct.
Kikaratasi km kawaida anasoma kichwa anabwatuka mpaka anapaliwa na mate anapewa maji.. leo kapaliwa na mate zaidi ya mara 2 ujue haohao unawaeleza sio wote wanakubari unachoongea ila wanakusikiliza tu basi..
 
Yale maji wamuwekee kitu tu tushangilie.
 
Samia ana hekima na busara sana. Kama umemsikiliza mwanzoni amesema yeye ndiye aliwaleta akina Lissu na Lema waliokuwa nje kama wakimbizi. Akaanzisha 4R lakini hao hao akina Lissu wakawa ndiyo wa kwanza kumtukana
Bado haujatujaza kwenye mfumo muulize HP wamempeleka wapi na sasa hivi wanamuwinda Gwajiboi ili wamteke wampoteze target nyingine ni Fr. Kitima sababu hapepesi maneno na ukweli unauma sana ndio maana leo ameongea kwa uchungu sababu ukweli ule unamuuma kaiba kura kaua kajiingiza madarakani anajitetea uongo eti 97% ni za wale waliopiga kura anasema eti waandamanaji waliingia road saa 5 uongo watu waliingia road saa 3 na dakika 30 anasema uongo uongo mwingi ambao akiambiwa thibitisha hawezi ni muongo kiburi jeuri mjivuni na humohumo anahutubia anasema uongo tunamchora tu anapowaongopea wazee waliokosa akili..
 
Polepole hajarudi toka Cuba alikokuwa Balozi wa Tanzania nchini humo.
 
Back
Top Bottom