Mkutano wa Sekretarieti ya Halmashauri kuu ya Taifa na UVCCM, UWT na Wazazi | Komredi Polepole amejiuzulu

Mkutano wa Sekretarieti ya Halmashauri kuu ya Taifa na UVCCM, UWT na Wazazi | Komredi Polepole amejiuzulu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni mkutano wa kutathmini yaliyojiri katika uchaguzi mkuu wa 2020 na kuweka mikakati thabiti ya maandalizi ya Uchaguzi.

Katibu Mkuu, Dkt. Bashiru amesema sasa wanayo kazi moja kubwa ya kujaza nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi komredi Polepole a.K.a Mwendokasi aliyeteuliwa kuwa Mbunge.

Bashiru amesema Polepole ameifanyia CCM mambo makubwa na uteuzi alioupata kutoka kwa Rais Magufuli anastahili, amempongeza sana.

Karibu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Polepole nilitegemea awe SG ajaye ! Lakini ametosha hasa kipindi cha kampeni maana alijua jinsi ya kuwakunja akina Tototundu
 
Kama kitu hujui uliza ili uelimike


Ama kweli kwenye Msafala wa Mamba kenge hawakosekani.

JF. Ilikuwa jzukwaa la watu makini sana.

Hujui maaana ya( ? )??????
kiulozo????????

ulitaka aulize vipi????
Rubish.
 
Kama kitu hujui uliza ili uelimike
sijui nini bhana polepole katumbuliwa full stop, ubunge au uwaziri hauwezi kuwa juu ya katibu mwenezi, kwenye nchi ambayo chama kimeshika hatamu
 
Mleta Post ,
Siyo polepole amejihuzu,SEMA amebadilisha nafasi,
Pia Bashiru Hana ubavu wa kusema Wana kazi moja tu ya kujaza nafasi ya polepole
Kina bashiru hawana ubavu wa kuchagua,wao washubili wachaguliwe na jiwe, Bashiru,Mangula ,wapo Kama pazia pale Lumumba ,hawana maamuzi yoyote.
 
Back
Top Bottom