Mkutano wa Sekretarieti ya Halmashauri kuu ya Taifa na UVCCM, UWT na Wazazi | Komredi Polepole amejiuzulu

Mkutano wa Sekretarieti ya Halmashauri kuu ya Taifa na UVCCM, UWT na Wazazi | Komredi Polepole amejiuzulu

safu ya WAJENGA hoja wa Mabadiriko ya Katiba inaimarishwa! Maspika yalishapatikana...
 
Jamaa washaanza maandalizi ya uchaguzi wa 2025, chandimu wako bize juu ya kutolewa jela kwa nusrat, watakuja shituka spana tena washapigwa

Hamna cha maandalizi, sana ni madaraka ya urais kuagiza vyombo vya dola na tume ya uchaguzi kuhakikisha ccm wanatangazwa washindi. Msitake kujifanya kuna mikakati sana wakati tunajua siri ya urembo ni madaraka ya urais yanayotumika vibaya.
 
Jamaa washaanza maandalizi ya uchaguzi wa 2025, chandimu wako bize juu ya kutolewa jela kwa nusrat, watakuja shituka spana tena washapigwa
Polisi wanahtaji siku ngapi za kujaza mabegi kura bandia? Huu usanii pelekeni Kaole.
 
Ni mkutano wa kutathmini yaliyojiri katika uchaguzi mkuu wa 2020 na kuweka mikakati thabiti ya maandalizi ya Uchaguzi..

Sio lazima atoke, anaweza kuwa ni katibu wa NEC itikadi na uenezi wa CCM, na pia kwa wakati mmoja akawa ni mbunge ndani ya bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania

Mwaka 2005, Katibu mkuu mstaafu wa CCM Luteni Yusuph Makamba,kwa wakati mmoja alikuwa ni katibu mkuu na pia mbunge wa kuteuliwa ndani ya bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania
 
sijui nini bhana polepole katumbuliwa full stop, ubunge au uwaziri hauwezi kuwa juu ya katibu mwenezi, kwenye nchi ambayo chama kimeshika hatamu
Hawajui hawa, achana nao. Ngoja niwaelimishe kidogo:

Ukipewa urais wa Tanzania ukanyimwa uenyekiti wa CCM, maana yake Raisi yupo chini ya m/kiti full stop. Ndio maana Nyerere alipoliona hilo alilazimisha kuwa Atakayekuwa Raisi ndio atakuwa M/ kiti wa CCM ili ushike nguvu zote mwenyewe.

Turudi nyuma: Pole pole akiwa k/mwenezi alikuwa na uwezo wa kumuita Mbunge, waziri na wakuu wa mikoa na kuwaonya kama wanakwenda kinyume na msimamo wa chama. Kumbuka sakata la makonda kugombea ubunge. Usiponielewa hapo niulize kindengereko!Ahhh nimekumbuka kauli mbiu Chama chashika hatamu!!!!

Kumbuka nafasi kubwa 4 ktk CCM: 1)M/kiti, 2)Makamu M/k,3)Katibu mkuu 4 K/ mwenezi.
 
Maandalizi ya Urais yameanza, msiniulize but be ready yajayo yanafurahisha kama si kuhuzunisha, pale mtakaposikia Rais wa Jamhuri Ndugu Polepole

Please msinipopoe mawe🤣🤣
 
Back
Top Bottom