Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Wewe endelea kulalamika tu humu mitandaoni kuingia barabarani hamtaki kazi kurudiarudia maneno tu humu,pamoja na kuyajua yote hayo ila bado mlikuwa mnaamini Lissu atatoboa wakati hamjafanya lolote kubadili hiyo hali ya tume ya uchaguzi na hivyo vyombo vya dola kumtangaza ccm mshindi.Hamna cha maandalizi, sana ni madaraka ya urais kuagiza vyombo vya dola na tume ya uchaguzi kuhakikisha ccm wanatangazwa washindi. Msitake kujifanya kuna mikakati sana wakati tunajua siri ya urembo ni madaraka ya urais yanayotumika vibaya.
Mlivyo wa ajabu 2025 mtakuwa mnajipa tena matumaini ya kushinda uchaguzi huku mkiwa hamna mlichokibadili,uchaguzi ukiisha mnakuja tena hapa kuimba nyimbo zilezile za tume ya uchaguzi na nguvu ya dola.
Ndio maana Polepole aliwaita wapinzani kuwa ni corona.