johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndiyo!Bwashee kwan ww nawe upo jumuiya ya wazazi au???
Dr Bashiru amesema Polepole amepewa majukumu makubwa zaidi!kwa nini polepole wamemtumbua? ubunge ni cheo kidogo sana kulinganisha na katibu mwenezi wa ccm
CCM ni chama makini na Chadema ni chama cha matukio!Jamaa washaanza maandalizi ya uchaguzi wa 2025, chandimu wako bize juu ya kutolewa jela kwa nusrat, watakuja shituka spana tena washapigwa
ubunge au uwaziri ndio majukumu makubwa? hao wote wanapiga magoti kwa mweneziDr Bashiru amesema Polepole amepewa majukumu makubwa zaidi!
Hakika mkuu!CCM wana utaratibu mzuri sana wa Kuendesha mambo yake tena Kimpangilio kabisa ndiyo maana sishangai Chama changu hiki Kukubalika nchini.
Unambishia KM wa CCM?!ubunge au uwaziri ndio majukumu makubwa? hao wote wanapiga magoti kwa mwenezi
CCM wana utaratibu mzuri sana wa Kuendesha mambo yake tena Kimpangilio kabisa ndiyo maana sishangai Chama changu hiki Kukubalika nchini.
Hahahaaaa........!Chadema bado wanajadili Rungu la Spika kutokuwepo wakati wa kuapishwa Mjela mjela Nusrat na Kamanda Halima James Mdee
Kama kitu hujui uliza ili uelimikeubunge au uwaziri ndio majukumu makubwa? hao wote wanapiga magoti kwa mwenezi
Kama kitu hujui uliza ili uelimike
CongratulationsAma kweli kwenye Msafala wa Mamba kenge hawakosekani.
JF. Ilikuwa jzukwaa la watu makini sana.
Hujui maaana ya( ? )??????
kiulozo????????
ulitaka aulize vipi????
Rubish.
sijui nini bhana polepole katumbuliwa full stop, ubunge au uwaziri hauwezi kuwa juu ya katibu mwenezi, kwenye nchi ambayo chama kimeshika hatamuKama kitu hujui uliza ili uelimike