Pre GE2025 Mkutano wa Tundu Lissu na Waandishi wa Habari Singida Novemba 12, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
images (1).jpeg
 
Uzushi hujaanzq leo. Ni kawaida yako. Kwako wewe shida za watanzania chanzo chake ni cahdema na siyo walafi. Matapeli, wahuni na wala rushwa waliojazana hapo lumumba na kwenye ofisi za umma kulikojaa mchwa [rejea taaifa ya CAG]
Chadema ingekuwa haina wala rushwa isingekubali kumpokea wala rushwa na wahuni 2015,Chadema original wamenielewa!
 
Baad ya 2025 hao wala rushwa waliopokelewa na Chadema walienda wapi na sasa wako wapi? Ulishawahi kusikia chama chochote duniani kinanunua wabunge na madiwani wa chama kingine na kuwaruďisha kwenye nafasi zilezile kwenye majimbo yaleyale kwa gharama za walipa kodi walewale? Ccm asili watakuwa wamenielewa
 
2025 bado ila yule aliyepeperusha bendera ya uchaguzi nafasibya urais alikuwepo kwenye tovuti ya Chadema kama fisadi na mla rushwa nchini baada ya kuwapa rushwa viongozi wakuu chadema walifuta ile taarifa mpaka leo hawana uthubutu hata huyo lissu likifika suala la rushwa mdomo unajaa mate!Chadema original wamenielewa!
 
Baada ya yule mla rushwa kuondoka chadema alirudi kwa wala rushwa wenzake? Tena na kupokelewa kishujaa na mpinga rushwa mkuu wa wakati huo? Nikisema hivyo nitakuwa nimekosea?
 
Taifa Linaongea na Dunia nzima (EU World Bank IMF Trump Mabalozi) wanasikiliza

Huko nje Tunaitwa majina ya ajabu ajabu kwa sababu ya Mambo ya kikkuda kama haya Mijitu mizima ustaraabu SIFURI

Unaharibu Uchaguzi kwa sababu za uchawa utazani hizo fedha za kuendeshea uchaguzi mnazitoa kwenye Familia zenu
This Man is very brave....God alresdy blessed him
 
Baada ya yule mla rushwa kuondoka chadema alirudi kwa wala rushwa wenzake? Tena na kupokelewa kishujaa na mpinga rushwa mkuu wa wakati huo? Nikisema hivyo nitakuwa nimekosea?
Ndio maana rushwa aliyoiwacha mpaka leo hii chadema haina agenda ya rushwa wanavyo ogopa kuipigia kelele rejea uchaguzi wa kanda!
 
Kwani mwenye dhima ya kuikemea rushwa Tanzania ni chadema tu? Magufuli pamoja na kelele zoote alizopiga kuhusu rushwa alibadilisha sheria gani ya kuzuiya na kupambana na rushwa Tanzania? Au na hili nalo lilihitaji chadema?
 
Back
Top Bottom