Ulitaka 'content' ipi hasa?Maneno meengi content kidogo.
Katika hayo maneno mengi hakuna hata 'content' uliyo iona ili uizungumzie?
Basi ngoja mimi nikupe moja ambayo nimeiona na ni dhahiri kabisa, sisikie wewe unasemaje kuhusu hiyo: Hilo la watu kwenda kwenyemazungumzo ya " faragha", wewe hili unalionaje?
Ukiniuliza mimi nitakwambia bila kupepesa macho, kwamba huko ndani ya CHADEMA kuna akina Msigwa wengi sana walio jazana huko.