Ulitaka 'content' ipi hasa?Maneno meengi content kidogo.
Leo tena akili yako inafanya kazi kivingine kabisa, tofauti na ile nyingine inayo himiza kummaliza kwa risasi nyingine mtu huyo huyo!Siasa za Tanzania ni shida. Chukulia yote aliyoongea kwa muktadha wa kutoa elimu kwanini habari za ‘nusu mkate’ ni changa la macho kwa siasa za Tanzania,
"Kuchoka; kukataa tamaa"?Siku lissu akchoka kuongea na kukata tamaa...🥺🤔🙇🏿♂
Sema tu mkuu 'Kinowamiguu', kwa upande wangu ninakuelewa vizuri sana. Hii sasa ndiyo nchi yetu pendwa!Baada ya yule mla rushwa kuondoka chadema alirudi kwa wala rushwa wenzake? Tena na kupokelewa kishujaa na mpinga rushwa mkuu wa wakati huo? Nikisema hivyo nitakuwa nimekosea?
Hilo jambo ni gumu.Ulitaka 'content' ipi hasa?
Katika hayo maneno mengi hakuna hata 'content' uliyo iona ili uizungumzie?
Basi ngoja mimi nikupe moja ambayo nimeiona na ni dhahiri kabisa, sisikie wewe unasemaje kuhusu hiyo: Hilo la watu kwenda kwenyemazungumzo ya " faragha", wewe hili unalionaje?
Ukiniuliza mimi nitakwambia bila kupepesa macho, kwamba huko ndani ya CHADEMA kuna akina Msigwa wengi sana walio jazana huko.
Kumwelewa kunge anzia ndani ya chama chake. Huko ndani ya CHADEMA kuna tatizo...Lissu ana kipaji, na hoja.
..tatizo ni Watanzania wanamuelewa kiasi gani.
Chama Cha wakatoliki dhahiri kabisa kanisani
'Pragmatism' si kubwaga manyanga. Kiongozi wa kweli ha'compromize' misingi ya anacho kiamini.Mtu amesugua benchi kwa muda mrefu umri unasonga matumaini yanapungua anaamua kupunguza vigezo.
Yani huyu mwenyekiti wetu wa mtaa hajui hata kuandika vizudi, labda fomu huwa wanajaziwa, nasikia kateuliwa tena kutetea kiti chake muhula wa 3Inamaana CHADEMA tu ndiyo wenye makosa na kuenguliwa. Mbona CCM hawaenguliwi?
TatizoHakuna haja ya kushiriki uchaguzi kama huu