Uchaguzi 2020 Mkutano wa Viongozi wa Dini wa kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli kuelekea Uchaguzi Mkuu!

Uchaguzi 2020 Mkutano wa Viongozi wa Dini wa kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli kuelekea Uchaguzi Mkuu!

IMG_6489.JPG
 
Viongozi wa dini sisi waumini tupo nyuma yenu.nyinyi mnaongozwa na roho wa Mungu,mema mnayofanya hakika ni miongozo iliyobarikiwa na Muumba mbingu na nchi.
Mungu awaongoze mzidishie upendo wenu kwa Rais wetu kipenzi JPM.
 
"Inasikitisha kuambiwa watu hawa wanaliombea Taifa amani, Taifa ambalo linapandikizwa chuki na visasi vinavyopewa baraka na viongozi hao hapo wa dini".

Mkuu, ebu fafanua vizuri hapo juu.
 
Wanasema mungu wa yakobo ndio huyo mungu wa yohana mimi nakataa, Mungu aliyetupa amani na mungu wa maaskofu ukumbini leo ni wawili tofauti
Mungu wa isacka,Yacobo,Yohana ndo Mungu aliewapa hekima na busara viongozi wetu wa dini kuamua kukutana na Rais wetu kipenzi Rais Magufuli.
 
"Inasikitisha kuambiwa watu hawa wanaliombea Taifa amani, Taifa ambalo linapandikizwa chuki na visasi vinavyopewa baraka na viongozu hao hapo wa dini".

Mkuu, ebu fafanua vizuri hapo juu.
Huoni wapinzani na tawala wamefikia hatua ya kurushiana mawe, kuchomeana ofisi kukamatana HAPO ndipo dini ilitakiwa kusimama kati kati na kukemea sio kuunga mkono upande mmoja
 
Mungu wa isacka,Yacobo,Yohana ndo Mungu aliewapa hekima na busara viongozi wetu wa dini kuamua kukutana na Rais wetu kipenzi Rais Magufuli.
Hiyo sio busara ni uhuni huu ulikuwa muda wa kukemea mbinu chafu na Ubabe wa watawala
 
Viongozi wa dini sisi waumini tupo nyuma yenu.nyinyi mnaongozwa na roho wa Mungu,mema mnayofanya hakika ni miongozo iliyobarikiwa na Muumba mbingu na nchi.
Mungu awaongoze mzidishie upendo wenu kwa Rais wetu kipenzi JPM.
Kwa Mara ya kwanza toka siasa zianze madhabahu inataka kua kituoo cha nani awe liwali ,au mfalme ama Rais. Nikikumbuka Rwanda nbaki kusema hiiiiiiiiiiiiiii!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Viongozi wa dini sisi waumini tupo nyuma yenu.nyinyi mnaongozwa na roho wa Mungu,mema mnayofanya hakika ni miongozo iliyobarikiwa na Muumba mbingu na nchi.
Mungu awaongoze mzidishie upendo wenu kwa Rais wetu kipenzi JPM.

Hata Mussolini aliitawala Italy kidictator kwa kupitia njia ya dini. Hizo ndio mbinu za madictator wengi duniani.
 
Back
Top Bottom