Wakuu Tanzania tunategemewa kuwa host wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaenda kwa jina la Africa Heads of State Energy Summit utakaofanyika January 27 - 28, 2025 Dar es Salaam, Tanzania
Tungependa Kujua Utaratibu ambao Wizara ya Nishati inatumia Kuinvite delegates na stakeholders mbalimbali kuhudhuria huo Mkutano
Mana mpaka muda huu hatujaona Popote pale ambapo wizara wameweka either watu wafanye application au details ya Capacity ya watu wanaohitajika especially stakeholders wa ndani