Mkutano Wa Wakuu Wa Nchi Kuhusu Mambo ya Nishati

Mkutano Wa Wakuu Wa Nchi Kuhusu Mambo ya Nishati

Bird Watcher

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
3,151
Reaction score
6,261
Wakuu Tanzania tunategemewa kuwa host wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaenda kwa jina la Africa Heads of State Energy Summit utakaofanyika January 27 - 28, 2025 Dar es Salaam, Tanzania

Tungependa Kujua Utaratibu ambao Wizara ya Nishati inatumia Kuinvite delegates na stakeholders mbalimbali kuhudhuria huo Mkutano

Mana mpaka muda huu hatujaona Popote pale ambapo wizara wameweka either watu wafanye application au details ya Capacity ya watu wanaohitajika especially stakeholders wa ndani
 
Mambo kama hayo wanayapeleka kimya kimya,ingekuwa tamasha la wakata mauno au kongamano la
Manabii jiji zima mpaka vyooni kungejaa posters za matangazo

Ova
 
Back
Top Bottom