Mkutano wa wana MMU kwa ajili ya kujumuika

Mjiandae kwa kupigwa picha pasipo kujuwa zisambazwe mtandaoni, tuta watambua kwa kulinganisha na id yako
 
Jamaa anasema anataka kutumia fursa hiyo kutafuta mchumba, atagharamia bites na vinywaji, sasa wewe mwanaume jichanganye uende uone msala wake.
Tatizo unachukulia serious
Post ya kimagumashi
Inajibiwa kizushi......
Unafikiri mtoa mada ana jeuri hiyo? Ht mademu wenyewe wtaamuacha anang'aa sharubu tu

Sipo serious hapa Jf
Just a funny!!
 
Mkuu mchango sh, ngapi
 
Natoa ushauri,msipigane picha na kurusha mitandaoni
Hata kama ukipigwa picha haiwezi kuhusianishwa na ID yako, labda wewe mwenyewe uamue kuwaambia watu. Unaogopa picha, kwani unataka kuja uchi? Tutakaa kiheshima sana kuliko unavyodhani, maana hujui wadau gani wataibuka, labda boss wako, mama, dada, jirani etc., au hata JPM - ni member mzuri tu humu.
 
Sawa. Naona una nia ya dhati kabisa
 
nitakuwepo mpendwa wangu lakini mshauri mtoamada tuwe watatu tu!! mimi mchumba wewe mshenga nayeye tupunguze matumizi yasiyo na lazima

Sentensi yake ya kwanza kabisa amesema lengo ni kukutana kimwili.

Sasa hapo mshenga anahusika kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…