Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utasubiri sanaMjiandae kwa kupigwa picha pasipo kujuwa zisambazwe mtandaoni, tuta watambua kwa kulinganisha na id yako
Nenda ukagharamiwe vinywaji na bites na mwanaume mwenzakoUtasubiri sana
Tatizo unachukulia seriousJamaa anasema anataka kutumia fursa hiyo kutafuta mchumba, atagharamia bites na vinywaji, sasa wewe mwanaume jichanganye uende uone msala wake.
Mimi najigharamia mwenyewe.Nenda ukagharamiwe vinywaji na bites na mwanaume mwenzako
Mkuu mchango sh, ngapiNdugu wapendwa,
Naandaa mkutano wa wanaMMU, lengo ni kukutana kimwili (physically) kwa ajili ya kujumuika (kusocialize).
Naamini mkutano huo utatoa fursa ya kufahamiana, kubadilishana mawazo, kushirikiana na hata kuanzisha mahusiano, urafiki na mapenzi imara zaidi.
Katika mkutano huo hakutakuwa na kujuana kwa majina yetu ya JF, ila kama mtu una wasiwasi wa kuwepo mamluki, unaweza tu kumwuuliza maswali machache kuhusiana na MMU, mfano, hebu mwelezee lara 1 wa MMU kwa sentensi moja, au malizia hili jina maarufu la mwana MMU: miss ******, n.k., Nasisitiza kuwa hakutakuwa na kufahamiana majina yetu ya humu (mimi mwandaaji hamtanifahamu pia).
Kipekee nataka kuitumia fursa hii kupata mchumba. Tupeane ushauri wa mahali pa kukutania (ukumbi), Tarehe, muda n.k. Kutakuwa na vinywaji na bites ambazo mimi nitagharimia 100% ya kila kitu, vitu vingine mtajinunulia wenyewe. Baada ya kuridhia huu mkutano na kukubaliana taratibu zingine, nitamwomba mwana MMU mmoja maarufu, aanzishe thread ya kukusanya idadi ya watakaohudhuria.
Karibu kwa maoni.
Mkuu mchango sh, ngapi
Nenda ukagharamiwe vinywaji na bites na mwanaume mwenzako
Hata kama ukipigwa picha haiwezi kuhusianishwa na ID yako, labda wewe mwenyewe uamue kuwaambia watu. Unaogopa picha, kwani unataka kuja uchi? Tutakaa kiheshima sana kuliko unavyodhani, maana hujui wadau gani wataibuka, labda boss wako, mama, dada, jirani etc., au hata JPM - ni member mzuri tu humu.Natoa ushauri,msipigane picha na kurusha mitandaoni
Location & date pleaseHakuna mchango, bites and soft drinks guaranteed. Ukitaka kunywa na kula mauzauza kama pombe, gharama ni juu yako.
Sawa. Naona una nia ya dhati kabisaHata kama ukipigwa picha haiwezi kuhusianishwa na ID yako, labda wewe mwenyewe uamue kuwaambia watu. Unaogopa picha, kwani unataka kuja uchi? Tutakaa kiheshima sana kuliko unavyodhani, maana hujui wadau gani wataibuka, labda boss wako, mama, dada, jirani etc., au hata JPM - ni member mzuri tu humu.
Location & date please
Tukutanishe miili yetuHapo kwenye kukutana kimwili nimepapenda. Nitahudhuria
Kuna seat allowance?
nitakuwepo mpendwa wangu lakini mshauri mtoamada tuwe watatu tu!! mimi mchumba wewe mshenga nayeye tupunguze matumizi yasiyo na lazima
Mkuu soma vizuri kabla hujafika huko mkuu kasema wakakutane kimwili labda sijamuelewa vizuriGood idea, so tuliooa au kuolewa tusije?
Usijali bibie tutakuwa woteeee cku hyooo[emoji23]Hapo kwenye kukutana kimwili nimepapenda. Nitahudhuria