Da Vinci XV JF-Expert Member Joined Dec 7, 2019 Posts 3,862 Reaction score 6,438 Jan 18, 2022 #1 Mkuu ,Kiranga nmekutana na hii mitandaoni huko Nikaona nikupenyezee hapaa Hawa vijana wana matani sana na nyie😅
Mkuu ,Kiranga nmekutana na hii mitandaoni huko Nikaona nikupenyezee hapaa Hawa vijana wana matani sana na nyie😅
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Jan 18, 2022 #2 Ni haki yao ya kikatiba kutumia uhuru wa kujieleza. Next time niite kwa mambo ya msingi.
Bufa JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 12,599 Reaction score 26,263 Jan 18, 2022 #3 Mtu mzima kutishwa na ndoto/story za kusadikika za uchawi ni dalili za kutokomaa kiakili.
Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Jan 18, 2022 #4 Athiest hawezi kuota ndoto hizi
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,415 Reaction score 119,473 Jan 18, 2022 #5 Unawatafuta
GangMkush Senior Member Joined Nov 15, 2021 Posts 163 Reaction score 278 Jan 18, 2022 #6 Mnakuwa mnayaanza wenyewe, tukiwahoji badala ya kutujibu mnakuwa mnatutukana na vitisho vya blasphermy
Mnakuwa mnayaanza wenyewe, tukiwahoji badala ya kutujibu mnakuwa mnatutukana na vitisho vya blasphermy