Mkuu Kiranga, nimekutana na hii mitandaoni huko

Ni haki yao ya kikatiba kutumia uhuru wa kujieleza.

Next time niite kwa mambo ya msingi.
 
Mtu mzima kutishwa na ndoto/story za kusadikika za uchawi ni dalili za kutokomaa kiakili.
 
Mnakuwa mnayaanza wenyewe, tukiwahoji badala ya kutujibu mnakuwa mnatutukana na vitisho vya blasphermy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…