Mkuu Poor brain, mateso ya Mama wa Kambo hauko peke yako, tumeyapitia wengi

Pole sana kaka, mimi pia ni mhanga wa situation hiyo. Pamoja na hayo yote naomba nikwambie tu kuwa SAMEHE yote na SAHAU.
 
ni kweli ila nadhani kwenye mia wema wanaweza kuwa wawili tu
 
Duuuh mkuu...
Umepitia changamoto aiseeeee
Mmmmh kumbe mi niliyeona nipo worse zaidi kumbe kuna wengine hali ni mbaya kabisa...

Vipo una mawasiliano mazuri na mzee..?
mawasiliano yapo kimtindo namaanisha akinipgia napokea ila siwezi kupiga. Wameshasema sana niipeleke familia yangu waione lkn upande wangu naona haina maana kbs
 
mawasiliano yapo kimtindo namaanisha akinipgia napokea ila siwezi kupiga. Wameshasema sana niipeleke familia yangu waione lkn upande wangu naona haina maana kbs
Watu wanasema samehe samahe ila kiukweli sisi binaadamu tuna nyongo..
Mkuu kuna watu wanakufanyia ubaya na hawajifunzi.

Kama hapo wanajutia sana ila kwa sasa mi ushauri wangu ni kupotezeq tu ishi maisha yako...
 
Watu wanasema samehe samahe ila kiukweli sisi binaadamu tuna nyongo..
Mkuu kuna watu wanakufanyia ubaya na hawajifunzi.

Kama hapo wanajutia sana ila kwa sasa mi ushauri wangu ni kupotezeq tu ishi maisha yako...
shida ni kwamba inasemekana huyo mama ni mchawi japo nimeishi nae sikuwahi kuona matunguli ila inasemekana hivyo, kuna mwaka flani kijijini uliitishwa mkutano kupga kura kuwabaini wachawi maana kulikuwa kumekithiri kwa vifo vya kishirikina na uchawi.

Na yeye zilimdondokea kura. Mtoto wake wa kumzaa ambae tayari ni marehem, amefariki hawaelewani mtoto alimtuhum mama kwa kumuulia mwanae,

Kuna miaka flani nilienda nyumbani, tumelala kitanda kimoja na dogo asubuhi nikaamka nipo uchi wa nyama wkt nililala full nimevaa. kwahiyo ni baadhi ya matukio ambayo siwezi kamwe peleka familia yangu hapo
 
Hii ya ushirikina ni issue tata sana aiseeee
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί
 
Haya mambo kama unavyosema wengi tumeyapitia na umetamatisha vizuri sana hongera.

Ila kama mwanaume usilaumu sana hata mimi ningelaumu kipindi nawekwa nje mvua inanyesha usiku wa manane kuna sehemu naamini nisingetoboa endapo nisingeyazoea hayo maisha.

Sasa sijui nilikuwa naandaliwa maisha haya.
 
Ushauri wangu mimi ni huu,ukiachana na mke wako na ukaamua kuoa mke mwingine hakikisha kuwa unakuwa karibu sana na watoto wako,usije ukafanya kosa la kumuamini huyo mwanamke kwa jambo lolote linalohusu watoto wako,atakudanganya kuwa anawapenda na kuwatunza lakini nyuma ya pazia anaweza kuwatesa sana kwakuwa anajua tayari kashakuteka ufahamu.Wanawake karibu wote asikudanganye mtu hawawezi kuwapenda watoto ambao sio wakwake,hata unapokuta mwanamke ameweza kuadopt mtoto basi ujue kuwa huyu ana roho ya kipekee sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…