Mkuu ukishaoa acha kujichua

Punyeto % kubwa inapigwa na watu walio kwenye relationship au ndoa

Sisi single Muda wetu mwingi tunaumaliziaga JF na Katika Kazi tu.
kha ila mbona mimi niliwahi kuishi na mwanamke na hata hamu na muda wa kupiga sikupata kabisa.... na sasa naishi peke yangu na bado sipigi punyeto nikionana na papuchi mara mojamoja naridhika tu siku zinasonga sasa huyu yupo na papuchi analala nayo anaamka nayo shida ipo wapi?
 
Ndio ukaazane,ujenge kwako uhamie.
 
Huyu mwamba ananikwaza zaidi pia jinsi nikitafakari kuwa ana mke na ana watoto wawili mapacha wana mwaka mmoja na bado mkewe ana mimba ndo anazidi kunikwaza
Kumbe wapiga nyeto hua wanapigisha mimba juu ya mimba yaan mimba mfululizo ? Aisee apewe heshima yako dronedrake mpe Kadi ya uanachama huyu mkuu
 
Kujichua kwa mwanaume nakuchukulia ni kama mwanamke ambae halizishwi/kufikishwa kileleni, ndo maana unamkuta mtu anaamua kujifikisha mwenyewe. Sishangai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…