Mkuu wa FSB wa Urusi asema Marekani, Uingereza, Ukraine ndizo zilizohusika na shambulio la Moscow

Kwan kuna sehem wamesema hao ni waislam
 
How? Isn’t the FSB head claiming the US was involved in the recent attack?
Ugaidi hauangalii wewe ni super power au wa kawaida ndio maana Israel pamaja na uimara wake lakini wamekuwa wakitaabika sana na Ugaidi. Hata Marekani imeteswa sana na ugaidi hadi ndani ya ardhi yake.

Kinachowasumbua ni ushabiki maandazi
 
Washughulikiwe hakuna namna
Mr Uharo Mzee wa hatimaye na wenzake hawataki kabisa kuja kwenye huu uzi 🤣🤣

Maana wao uwa wanakubaliana kila propaganda za Israel na Marekani.

Jaribu basi kuwatag waje🤣
 
How credible is the source?
 
Ngoja wala nguruwe waje kupinga....Watu duniani kote wanajua Marekani ndio anatuma hayo makundi 😅😅
 
Bila kuweka ushabiki na unazi. Dunia inapoelekea hakuna atakayesalia salama. Yaani mashabiki wa vita, Tusioshabikia vita, Wapiganisha vita na wapiganaji wa vita hakuna atakayetulia kwa utimilifu. Tunaenda kukanyagana bila kuhurumiana.

Damu ya wanadamu itamwagika umbali wa maili 200 na Tumbusi wenye taya zenye nguvu watakuwa maafisa wa mazishi kwa sababu tutashindwa kuzikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…