Mkuu wa FSB wa Urusi asema Marekani, Uingereza, Ukraine ndizo zilizohusika na shambulio la Moscow

Kitendo walichokifanya ni sawa na kuchezea nyeti za Putini. Watateseka sana kabla ya kuaga dunia.
 
Umejuwaje kama wale ni Waislam? Muislam haruhusiwi kuua bila sababu. Na sababu zake ni mbili tu, au vita au kisasi.
🤣🤣 kuna dini gani inaruhusu watu kuua sasa? Anaeua ni mtu sio dini yake.
Ila ukiua tunakuhukumu wewe na dini yako iliyokulea vibaya.
 
🇰🇿🇺🇦 Ubalozi wa Kazakhstan nchini Ukraine unatoa wito kwa raia wake kuondoka mara moja Kharkiv na Odessa

"Kutokana na kuongezeka kwa mvutano na hali ya usalama isiyo imara katika mikoa ya Odessa na Kharkov ya Ukraine, Ubalozi unapendekeza kwamba raia wa Kazakhstan wafikirie kuondoka katika maeneo haya," ujumbe unasema.

Katika mahojiano na CBS News, Zelensky alikiri kwamba Urusi inajiandaa kwa shambulio jipya kubwa

t.me/megatron_ron
 
🤣🤣 kuna dini gani inaruhusu watu kuua sasa? Anaeua ni mtu sio dini yake.
Ila ukiua tunakuhukumu wewe na dini yako iliyokulea vibaya.
Unaonesha kuwa una macho lakini hayaoni, una masikio lakini hayasikii.
 
Waisrael weusi mbona mnaupita huu uzi Putin kakamata magaidi.
😂
Inawezekana wanaona uzi umejaa umbea, porojo, mihemko na ushabiki maandazi..
Mtoa mada hajaweka source yoyote credible hapa
 
Inawezekana wanaona uzi umejaa porojo, mihemko na ushabiki maandazi..
Mtoa mada hajaweka source yoyote credible hapa
Hizi ni porojo?
>>>>>>>>>>>>>>>>>
The investigation has information that the perpetrators of the terrorist attack received significant amounts of money and cryptocurrency from Ukraine.

Terrorists from Crocus are connected with the special services of Ukraine, - Sledkom

The initial results of the investigation into the terrorist attack in Crocus fully confirm the planned nature of the terrorists’ actions, careful preparation and financial support from the organizers of the crime, the Investigative Committee reports.

As a result of working with arrested terrorists, studying the technical devices confiscated from them, and analyzing information about financial transactions, evidence of their connection with the Ukrainian Nazis was obtained.

The investigation has information that the perpetrators of the terrorist attack received significant amounts of money and cryptocurrency from Ukraine.

1 more suspect involved in financing terrorists has been identified and detained.


t.me/megatron_ron
>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Unataka Source gani?
 
Wewe mjukuu wa Mtume acha Propaganda uchwara. Wahalifu pekee hapa duniani ni nyie Waislam
 
Also nothing Biden can do to Russia
acha kujitekenya wew hao watu 130+ plus walio tangulizwa akhera mbona uyo Russia haja fanya retaliation yoyote kwa Us ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…