Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
ipo siku AMERIKA atapigwa kipigo cha ghafla,,,,"ipo siku mbaya kwa AMERIKA"Wanaukumbi.
Mkuu wa Huduma ya Usalama ya Shirikisho la Urusi alisema leo, "Marekani, Uingereza, na Ukraine, ndizo zilizohusika na shambulio la ukumbi wa tamasha la Moscow".
Hayo ni madai mazito ... yenye athari za ulimwengu ...
.Info-Flash - United Kingdom : ActualitΓ©s
United Kingdom - AccΓ©dez en temps rΓ©el Γ toutes les informations locales et nationales, telles que les Γ©vΓ©nements sportifs, les emplacements des dΓ©fibrillateurs, les sorties, les actualitΓ©s ainsi que les alertes locales et nationales.www.info-flash.com
---
Russian Federal Security Service Chief said today, βthe US, Britain, and Ukraine, were behind the Moscow concert hall attackβ.Those are serious allegationsβ¦ with global implicationsβ¦Regardless of who you think is telling the truth, tensions are high.
UP DATEβ¦..
BREAKING:
π·πΊ Uchunguzi una habari kuwa wahusika wa shambulio la kigaidi walipokea kiasi kikubwa cha pesa na sarafu ya siri kutoka Ukraine.
Magaidi kutoka Crocus ni kushikamana na huduma maalum ya Ukraine, - Sledkom
Matokeo ya awali ya uchunguzi wa shambulio la kigaidi huko Crocus yanathibitisha kikamilifu asili iliyopangwa ya vitendo vya magaidi, maandalizi makini na msaada wa kifedha kutoka kwa waandaaji wa uhalifu, Kamati ya Uchunguzi inaripoti.
Kama matokeo ya kufanya kazi na magaidi waliokamatwa, kusoma vifaa vya kiufundi vilivyochukuliwa kutoka kwao, na kuchambua habari juu ya shughuli za kifedha, ushahidi wa uhusiano wao na Wanazi wa Kiukreni ulipatikana.
Uchunguzi huo una habari kwamba wahusika wa shambulio hilo la kigaidi walipokea kiasi kikubwa cha fedha na sarafu ya siri kutoka Ukraine.
Mshukiwa 1 zaidi anayehusika katika kufadhili magaidi ametambuliwa na kuzuiliwa.
t.me/megatron_ron
View: https://x.com/megatron_ron/status/1773364653076128047?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
UP DATE..
View: https://x.com/bricsinfo/status/1773583970774478942?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Al shababu......janjaweed........bibi hawa vipiUmejuwaje kama wale ni Waislam? Muislam haruhusiwi kuua bila sababu. Na sababu zake ni mbili tu, au vita au kisasi.
Watalipiza liniRussia Ina majasusi wenye akili sana watakuja kulipiza kisasi kwa nchi zilizohusika matasikia hata baada ya Mika 5 mkiwa mmesahau!
Kwani urusi hakuna homeless????Mtu ambaye nchi yake kuna watu wanalala barabara kwa umaskini mpaka wanafukuzwa miji mikubwa ,mtu huyo anatoa mabillion kuchochea vita unafikiria mzima kweli?
Daraja lile mpaka sasa hajajenga ila anapeleka pesa kuchochea vita?
Mbona unaumia nimekutaja?Kwani urusi hakuna homeless????
Dunia nzima wanakimbilia ulaya na marekani.....mpaka hao warusi.
NB: MPELEKEE MATOFALI AJENGE DARAJS KAMA UNA HARAKA NALO MKUU
Mkuu si unataka daraja lijengwe....haraka...wapelekee makafiri matofaliMbona unaumia nimekutaja?
Vyote vikundi vilivyoundwa na CIA hivyo kuupaka matope Uislam.Al shababu......janjaweed........bibi hawa vipi
π π πMkuu si unataka daraja lijengwe....haraka...wapelekee makafiri matofali
Mtani upoπ π π
Bibi.....Allah ndio nani?????Vyote vikundi vilivyoundwa na CIA hivyo kuupaka matope Uislam.
Lakini Allah ni mkubwa, vinawageukia.
Yule ambae Yesu alimlia kuwa "mbona unaniwacha".Bibi.....Allah ndio nani?????
Yesu.....yupi sasa.......maaana yesu wa wakrsto alimlilia baba yake.....mungu wa kiyahudi YEHOVA EL SHADAIYule ambae Yesu alimlia kuwa "mbona unaniwacha".
Weka mstari, usilete porojo zako.Yesu.....yupi sasa.......maaana yesu wa wakrsto alimlilia baba yake.....mungu wa kiyahudi YEHOVA EL SHADAI
Bibi unaenda kudata...sasa unalazimisha kua mungu wa wakristo na wayahudi Yehova el shadai myahudi......Weka mstari, usilete porojo zako.
Yesu myahudi hamjui Allah bali anamjua baba yake Yehovah myahudi......!!!Yule ambae Yesu alimlia kuwa "mbona unaniwacha".
Wanasoma kujibu sio kuelewaπ€£Hivi unaota kwani mada inayo jadiliwa si Biden kamjeruhi Russia au???