Mkuu wa jeshi la Iran ambaye huratibu shughuli za HAMAS auawa na Israel

Mkuu wa jeshi la Iran ambaye huratibu shughuli za HAMAS auawa na Israel

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Israel endelea kupeleka moto, msijali hata Iran wakilenga apartments za raia, hiyo gharama ya kulipa kwa ajili ya vizazi vyenu vya baadaye, maana mkifaulu kusambaratisha Iran, ndio mtakua salama nyie na watoto wenu maana maana Iran tu ndio ilikua imesalia kama tishio kati ya mataifa ya waislamu, wengine wote ni wachumba, hawa Iran wangefaulu kuipata hiyo nyuklia ndio basi.....

Mohammad Saeed Izadi was a major orchestrator of the October 7 massacre and one of the few individuals who knew about it in advance.​

Mohammad Saeed Izadi, the commander of the Palestine Corps within the Islamic Revolutionary Guard Corps Quds Force and the key coordinator between Iran and Hamas, was killed on Saturday, both the military and Defense Minister Israel Katz announced.

Izadi, according to reports, helped finance and arm Hamas in the lead-up to the October 7 massacre. He was reportedly behind the "plan to destroy Israel" by coordinating assaults on Israel from multiple fronts.

Izadi was killed in an apartment in the city of Qom, south of Tehran, by an attack by Israel Air Force fighter jets following an intelligence-gathering effort, the military said.
 
Iran chini ya IRGC ni nchi hatari isiyojali binadamu wa taifa lolote. Wanarusha ballistic missiles randomly,zitakazowapata shauri zao... Ni kichaa atakayeamini kwamba Iran inapigania Umma wa kiislam.
Iran. Ina watu zaidi ya milioni 90 wote wapo kwenye hatari ya mashambukizi endapo Israel ingekuwa inapiga makombora kama mwenzake anavyofanya, Cha kusikitisha ni kwamba bomb shelters are only reserved for Iran leaders with their families. Iran inatamani Kuitawala Dunia kupitia dini,haitaweza kwa Jina la YESU.
 
Leo Iran atabomoa majengo ndani ya Israel na baada ya Miaka 2 maeneo yote yatarudi kama awali na waisraeli wataishi Kwa Amani Kwa Miaka 50 ijayo baada ya kuondoa utawala wa ayatollah na magaidi wenzake.... gharama ya vita ni kubwa ila baada ya wiki moja mbele Iran itakuwa imepingwa kila idara hata hizo ballistic launchers na air defence system yote itaangamizwa.
USA ataingia Kati baada ya kusambaratisha kilakitu hapo Iran Kwa wenye Akili timamu wanajua kabisaa kuwa Iran umeshafika mwisho wao na itakuwa kama Iraq na Libya
 
Watasema unaongea kishabiki ila US na Israel hawajawahi kusita wanapoingia sehemu. Iran itaachwa ikiwa na mapigo mazito mno.
 
Back
Top Bottom