kajekudya
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 2,466
- 4,916
Umeshirikiana na kiongozi wa CCM mnamnyanyasa huyo Mama. Tena mtumishi wa Serikali kisa Tsh. 15000/= za ulinzi shirikishi. Yaani kweli kila mwezi mtu alipe Tsh.15,000/= tena kwa Walinzi ambao hata hajui Kama wanalinda.
Najua mnataka kugeuza kesi. Lakini ipo siku utalipa nakuapia.
UPDATE:
Mama aliyekuwa ameshikiliwa kituo cha Polisi Mabwepande ameachiwa.
Najua mnataka kugeuza kesi. Lakini ipo siku utalipa nakuapia.
UPDATE:
Mama aliyekuwa ameshikiliwa kituo cha Polisi Mabwepande ameachiwa.