Peleka malalamiko wizara ya mambo ya ndani mkuuUmeshirikiana na kiongoza wa CCM mnamnyanyasa huyo Mama. Tena mtumishi wa Serikali kisa tsh. 15000/= za ulinzi shirikishi. Yaani kweli kila mwezi mtu alipe Tsh.15000/= tena kwa Walinzi ambao hata hajui Kama wanalinda.
Najua mnataka kugeuza kesi. Lakini ipo siku utalipa nakuapia
Ila uwe na malalamiko yaliyotosheka na ushahidi. Iko nyepesi sana. Huu uonevu upo. Na ndio maana jeshi la polisi mama anataka kulifumua kabisaUmeshirikiana na kiongoza wa CCM mnamnyanyasa huyo Mama. Tena mtumishi wa Serikali kisa tsh. 15000/= za ulinzi shirikishi. Yaani kweli kila mwezi mtu alipe Tsh.15000/= tena kwa Walinzi ambao hata hajui Kama wanalinda.
Najua mnataka kugeuza kesi. Lakini ipo siku utalipa nakuapia
Hii ni nyingi labda kama alilimbikiza kisha akawajibu jeuri maana kuna wanawake Wana laana za ukoo ya kauli chafuMkuu tsh 15000 yote kweli. Na hapo kosa lake ni lipi kama siyo uonevu tu
Askari hawatoshi, utaratibu wa kuchangia ulinzi sh ngapi upangwa na wakazi husika wa mtaaDaaa kwahiyo raia siku hizi tunajilipia ulinzi wetu. Za kile Kodi za kila mwezi zinazowalipa hao wanaojiita Polisi zinaenda wapi
Bila kulitoa kwenye makucha ya CCM hapo ni sawa na kubadili chupa ya mvinyo tu.Ila uwe na malalamiko yaliyotosheka na ushahidi. Iko nyepesi sana. Huu uonevu upo. Na ndio maana jeshi la polisi mama anataka kulifumua kabisa
Mlikubaliana kama mtaa na kwann akamatwe yeye tuMkuu tsh.15000 na anayezichangisha ni mjumbe wa mtaa wa CCM
HapanaKwahiyo Kama mtu Hana huo uwezo ndiyo awekwe mahabusu.
Mboma malalamiko yenu na madem/michepuko zenu mnatusimulia humu yanatuhusu?Peleka malalamiko wizara ya mambo ya ndani mkuu
Unapoleta jambo JF jitahidi upate taarifa za kutosha kuliko kuandika habari za uzushi.Mkuu tsh.15000 na anayezichangisha ni mjumbe wa mtaa wa CCM