Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Ukute huyo "Nasr allah" anaongea akiwa shimoni. Aende front akapigane sasa, asiwaponze wana wa wenzieMkuu wa kundi la kigaidi la Hezbollah Dokta Nassan Nasrallah aagiza Jeshi lake kuanza kuishambulia Israel kuanzia kesho Agosti 2, 2024
Mungu bariki Hezbollah...Wadau hamjamboni nyote?
Kumekucha na amri imeshatolewa kwa magaidi kuanza kuichakaza Israel kesho kulipa kisasi mauaji ya Ismael haniyeh...
Hajulikani alipo hadi sasaUkute huyo Nasr allah anaongea akiwa shimoni. Aende front akapigane
Netanyahu kajificha ndani kabisa kwenye bunker, wanadai Kuna kitisho Cha maisha yakeNasrallah; ...Jamani mkashambulie sanaaa hakuna kuuliza washenzi sana hao yani watanitambua View attachment 3058954
Kumbe ?? Mana kuna maostadhi wanajificha lakini wanatafunwa vichogo huko huko mafichoni au hawajui kujifichaNetanyahu kajificha ndani kabisa kwenye bunker, wanadai Kuna kitisho Cha maisha yake
Ngoja atoke huyo mpoland aliwe kichwa,zamu yake Sasa,mawaziri wote wameongezewa ulinziKumbe ?? Mana kuna maostadhi wanajificha lakini wanatafunwa vichogo huko huko mafichoni au hawajui kujificha
Kumbe wale waliotafunwa vichogo jana walikua na ulinzi hafifu auNgoja atoke huyo mpoland aliwe kichwa,zamu yake Sasa,mawaziri wote wameongezewa ulinzi
Hivi kwani yeye haogopi. Vigogo wenzake wanaliwa vichwa yy kakomaaWadau hamjamboni nyote?
Kumekucha na amri imeshatolewa kwa magaidi kuanza kuichakaza Israel kesho kulipa kisasi mauaji ya Ismael haniyeh
Muda wa mashambuluzi ni baada ya maziko ya Ismael haniyeh/ sala ya ijumaa, hivyo ni takribani kuanzia saa 7 mchana na kuendelea kwa saa za kwetu Afrika Mashariki
Mungu ibariki Israel
Taarifa kamili hapo chini:
Nasrallah said he had ordered Hezbollah forces in southern Lebanon to curb the fighting on Wednesday and Thursday but that they would resume with higher intensity on Friday, reiterating that the only way to end the war on the Lebanese front was for Israel to stop its “aggression
View attachment 3058915