Mkuu wa kundi la Hezbollah Dokta Nassan Nasrallah aagiza Jeshi lake kuanza kuishambulia Israel kuanzia kesho Agosti 2, 2024

Mkuu wa kundi la Hezbollah Dokta Nassan Nasrallah aagiza Jeshi lake kuanza kuishambulia Israel kuanzia kesho Agosti 2, 2024

Nilitegemea ungeandika hicho alichosomea badala yake unaanza kutoa mawaidha, peleka masjid mkuu hapa sio mahala pake.
Hassan Nasrallah Kasomea education in Literature.
Na aliwahi kuwa mkufunzi wa Literature shule na chuo cha Lebanon.
 
Back
Top Bottom