Mkuu wa Majeshi Afrika Kusini amjibu Rais Kagame

Mkuu wa Majeshi Afrika Kusini amjibu Rais Kagame

Ubaya jeshi la kulinda amani linatakiwa kuzuia na sio kushambulia ndio kanuni za kimataifa zinasema hivyo
Na hapo watz wajue jeshi litu halijawahipo kupigana ukitoa kwa amini so maeneo yotenwaliopita wao ni peacekeeper sio battle force on ground msisikilize kelele kama sijui tulienda kongo Sudan sijui Lebanon huko kote ninkufanya Doria tu maana hatanpolisi nao hua wanaenda hatujawahi kuingia vitani wenye macho wataona
 
Kagame anaua vijana wake ni hatari jeshi la south Africa limeua kama sisimizi vijana wa m23. Naweka video yake hapa chini.
KAZI ni kipimo cha UTU
Wewe huna akili unatuwekea game unasema ni realistic video?? Shenzi kabisa
 
Kagame anaua vijana wake ni hatari jeshi la south Africa limeua kama sisimizi vijana wa m23. Naweka video yake hapa chini.
KAZI ni kipimo cha UTU
Sasa wewe unaweka video games ili iweje, vijana wajinga wa jamiiforums nao wanaamini 😂😂
 
Nifah mdogo wangu,unapenda sana mambo ya kibabe,naona wewe hupendi kuonewa au mtu kuonewa.
Una ufahamu mkubwa wa akili kama umeweza kuliona hilo kwa maandishi tu.

Yeah, sipendi kabisa uonevu. Naamini katika usawa na najitahidi kuishi hivyo.
Asante
 
Kagame anaua vijana wake ni hatari jeshi la south Africa limeua kama sisimizi vijana wa m23. Naweka video yake hapa chini.
KAZI ni kipimo cha UTU
Mkuu hii video ya kweli hawa ni M23 wanapigwa?
 
Sorry napenda kutanguliza maelezo hii video nitakayo weka hapa ni ya kutisha na kuogopesha ni baada ya ndege vita kufanya yake kwa m23. Kisha kikosi cha nchi kavu kikaenda kuakiki maiti vitani.
KAZI ni kipimo cha UTU
Mkuu we ni mwongo,video ya kwanza umetuletea game,video ya pili unasema wanajeshi wa M23 wameuawa.
Angalia hizi picha nimescreen short halafu angalia nembo ya bendera ya Congo
 

Attachments

  • Screenshot_2025-01-31-19-42-45-116~3.jpeg
    Screenshot_2025-01-31-19-42-45-116~3.jpeg
    122.4 KB · Views: 6
  • Screenshot_2025-01-31-19-41-59-208~3.jpeg
    Screenshot_2025-01-31-19-41-59-208~3.jpeg
    84.4 KB · Views: 5
Back
Top Bottom