Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Ina maana hajapatikana mbabe wa kumchapa kagame
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ku underate mataifa kijeshi. Russia tulioitegemea kushinda vita Kwa siku 2 ni miaka 3 Sasa hawajashinda. Tahadhari ni muhimu sanaHapana, kule DRC Tanzania, Malawi, Kenya na South wamepeleka Battalion Moja Moja Tena azijakamilika ki muundo wa kivita.
Ata Silaha zinakua ndogo ndogo Yale M( heavy weapons) Mwana ukome hayaja pelekwa.
Wale M 23 wanasaidiwa na Rwanda kwa full scale ya kivita ndio maana Wana sumbua.
Ingawa Rwanda ana Settelite yake ya ulinzi na Vifaa vya kisasa kabisa anavyo wasaidia M 23 katika uwanja wa medani Bado anapoteza askari wengi wa ki nyarwanda.
Kama Izo Nchi zita ingia Congo na full mziki , ni Swala la Mwezi mmoja Kagame atakua amesha kimbia maana atapigwa kutokea pande zote Nne za Nchi ya Rwanda na hatoweza kustahimili.
Zita shuka chopa za kivita na Ndege Vita za kisasa, Ma drone kwa wakati mmoja Hawatoweza kustahimili.
Kwasasa M 23 wanashambuliwa kwa MOTA, Tank na BM tu, mizinga ya Masafa marefu mipya ya kisasa haija Anza kazi.
WanatuchanganyaKwahiyo M23 hawajaiteka Goma?
Tuwaamini wa south au m23?
MwakibolwaIna maana hajapatikana mbabe wa kumchapa kagame
Duuuuu Hatari AiseeeKagame anaua vijana wake ni hatari jeshi la south Africa limeua kama sisimizi vijana wa m23. Naweka video yake hapa chini.
KAZI ni kipimo cha UTU
Sawa mambo ya AI hayo,soon utasikia sadc wanatumia silaha kali kutushambuliaHii sio video halisi ni mambo ya AI
Mk23 wanavaa sare zenye bendera ya nchi gani?Sare za waliokufa ni za wanajeshi wa Congo
Taarifa ya BBC Swahili ya saa 3 usiku wa jana! M23 wameuteka mji wa Goma na sasa wanasonga kuiteka mijini mingine ya kusini! Kwa hiyo taarifa ya CDF wa kusini sidhani kama ina ukweli.Mbona hapa kama moja haikai, mbili haikai pia. Huku taarifa zinadai M23 walishaiteka Goma tangu mapema juzi, huku huyu CDF wa Kwa Zulu anasema M23 wamezuiwa kusonga mbele. Daah nachanganyikiwa aisee🤔🤔🤔
Unajibu unaposhambuliwa tu.Kwaa hio wanalinda amani wanauliwa tu wenyewe hawajibu kitu yaan wao wameenda kufa kwa kigezo cha kulinda amani unauliwa haujibu mapigo kisa unalinda amani? Hahaha
Hao M23 ni kwamba wanujuzi wa kupigana sana au silaha zao nzuri sana, wana ujuzi sana au ni wengi sana?Taarifa ya BBC Swahili ya saa 3 usiku wa jana! M23 wameuteka mji wa Goma na sasa wanasonga kuiteka mijini mingine ya kusini! Kwa hiyo taarifa ya CDF wa kusini sidhani kama ina ukweli.
Hii chaiKagame anaua vijana wake ni hatari jeshi la south Africa limeua kama sisimizi vijana wa m23. Naweka video yake hapa chini.
KAZI ni kipimo cha UTU
Issue ni kwamba jeshi la congo limejaa mamluki na watu wasio wazalendo na nchi yao from juu mpaka chini,ni kawaida utakuta hao m23 wamepigwa ambush mahali halafu inatoka order kutoka juu kuwa jeshi la congo lirudi nyuma.Hao M23 ni kwamba wanujuzi wa kupigana sana au silaha zao nzuri sana, wana ujuzi sana au ni wengi sana?
Nashangaa Goma yenyewe hata hailingani na Kibaha, sasa hao M23 inakuwaje wana nguvu sana kuliko hata jeshi la Kongo lenyewe? Au Jeshi la Kongo lenyewe linaaskari pungufu, au hawana silaha?
Iweje Nchi kubwa na utajiri kama DRC inashindwa kulinda mipaka ya nchi yake mpaka isaidiwe na nchi jirani? na hizo nchi jirani kama Tanzania, Malawi, Kenya, na South Afrika wanalinda nini ikiwa hao M23 wanaweza kuwashambulia na kuwaondoa kwenye post zao?
M23 wanaogopwa sana au mataifa hayo yanlinda kitu kingine huko Goma?
Halafu nao wanarudi nyuma? wanakubali kuuliwa na hao watu wachache M23? Hata sioelewi kunashida gani? Mbona wamamsai wapo pande zote kwanini Watusi wasiwe raia wa Kongo DRC?Issue ni kwamba jeshi la congo limejaa mamluki na watu wasio wazalendo na nchi yao from juu mpaka chini,ni kawaida utakuta hao m23 wamepigwa ambush mahali halafu inatoka order kutoka juu kuwa jeshi la congo lirudi nyuma.
Wao wameenda kulinda amani sio kupiganaHalafu nao wanarudi nyuma? wanakubali kuuliwa na hao watu wachache M23? Hata sioelewi kunashida gani? Mbona wamamsai wapo pande zote kwanini Watusi wasiwe raia wa Kongo DRC?
Na Nchi zote zilizoweka majeshi Kongo zinalinda nini mpaka M23 wanweza kupigana na jeshi la DRC wao wakiwa eneo hilo hilo, wanoitwa walinda amani, amani ipi sasa ikiwa hao M23 wanweza kuchafua hali ya hewa?
Jamani Tanzania,Kenya Malawi, S.Afrika na DRC wenyewe wanapigwa na M23, inaingia akilini kweli?
Sasa Amani wanalinda wapi ikiwa hao M23 wanaweza kupigana hadi kuchukua Goma? Au sielewi nini maana ya kulinda Amani?Wao wameenda kulinda amani sio kupigana
AiseeKagame anaua vijana wake ni hatari jeshi la south Africa limeua kama sisimizi vijana wa m23. Naweka video yake hapa chini.
KAZI ni kipimo cha UTU
Afrika inatakiwa kuungana......kiini cha vita ni WAZUNGUSorry napenda kutanguliza maelezo hii video nitakayo weka hapa ni ya kutisha na kuogopesha ni baada ya ndege vita kufanya yake kwa m23. Kisha kikosi cha nchi kavu kikaenda kuakiki maiti vitani.
KAZI ni kipimo cha UTU