inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Bado zinapigwa hapo goma,hao watu warefu hujifanya ni miongoni mwa waisrael,wameiga ku-play victim hadi kuendekeza propagandaKwahiyo M23 hawajaiteka Goma?
Tuwaamini wa south au m23?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado zinapigwa hapo goma,hao watu warefu hujifanya ni miongoni mwa waisrael,wameiga ku-play victim hadi kuendekeza propagandaKwahiyo M23 hawajaiteka Goma?
Tuwaamini wa south au m23?
Umechanganya video mbili tofauti na hizo jezi sio za M23Baada ya show!!
Na hii itakua game gani?
KAZI ni kipimo cha UTU
Alikuwa hajui sijui kaitoa wapi bahati nzuri akakutana na GT wa jf wamemuelewesha.Mbona hii ni A10 wathdog attack plane, ya USA sidhani kama SA wana aina hii ya mult role attack aircraft.. hii itakua sio DRC mkuu check with your source
Source ya hii video?Hii ni kweli, hawa ni askari wa M23 waliouawa.
NomaSorry napenda kutanguliza maelezo hii video nitakayo weka hapa ni ya kutisha na kuogopesha ni baada ya ndege vita kufanya yake kwa m23. Kisha kikosi cha nchi kavu kikaenda kuakiki maiti vitani.
KAZI ni kipimo cha UTU
Tuwekee hiyo video tuone mkuu..Sasa ipo video ya baada ya ndege vita kufanya maafa haya video ni yakuogopesha MNO. Naogopa ni hatari kuliko hatari yenyewe wamesagika.
KAZI ni kipimo cha UTU
M23 nao wanazivaa hizo chief..Sare za waliokufa ni za wanajeshi wa Congo
Mbona hizi ni sare za jeshi la kongo?Sorry napenda kutanguliza maelezo hii video nitakayo weka hapa ni ya kutisha na kuogopesha ni baada ya ndege vita kufanya yake kwa m23. Kisha kikosi cha nchi kavu kikaenda kuakiki maiti vitani.
KAZI ni kipimo cha UTU
Oyaaaaa, hii noma!Sorry napenda kutanguliza maelezo hii video nitakayo weka hapa ni ya kutisha na kuogopesha ni baada ya ndege vita kufanya yake kwa m23. Kisha kikosi cha nchi kavu kikaenda kuakiki maiti vitani.
KAZI ni kipimo cha UTU
Heshima yako Mwanazuoni wa mambo ya vita, hebu tunaomba utie neno kidogo juu ya hali halisi ya huko Goma na Kivu ilivyo kwa sasaHii ni GCI za game. Wadanganye watoto
Ni kweli atandikwe yeye na watumwa wakeDawa kudili na anaewafadhili tu
Hiiii picha picha picha mbona!!!Kagame anaua vijana wake ni hatari jeshi la south Africa limeua kama sisimizi vijana wa m23. Naweka video yake hapa chini.
KAZI ni kipimo cha UTU
Ubaya jeshi la kulinda amani linatakiwa kuzuia na sio kushambulia ndio kanuni za kimataifa zinasema hivyoNchi tatu zinashindwa na kikosi cha wanamgambo?
Hii si aibu?
Jipe matumainjM23 walishawahi kuliwa Yas na JW. Wanaenda kuliwa tena bila vilainishi. Mamaee zao.
Hiii picha ni sawa lkn mbona kama ni m23 ndio wanatembeza kichapo!!!!iSorry napenda kutanguliza maelezo hii video nitakayo weka hapa ni ya kutisha na kuogopesha ni baada ya ndege vita kufanya yake kwa m23. Kisha kikosi cha nchi kavu kikaenda kuakiki maiti vitani.
KAZI ni kipimo cha UTU
Siyo kujipa matumaini. M23 wanaliwa nyashi tena.Jipe matumainj
Kwaa hio wanalinda amani wanauliwa tu wenyewe hawajibu kitu yaan wao wameenda kufa kwa kigezo cha kulinda amani unauliwa haujibu mapigo kisa unalinda amani? HahahaUbaya jeshi la kulinda amani linatakiwa kuzuia na sio kushambulia ndio kanuni za kimataifa zinasema hivyo