Mkuu wa Majeshi Afrika Kusini amjibu Rais Kagame

Mkuu wa Majeshi Afrika Kusini amjibu Rais Kagame

Kagame anaua vijana wake ni hatari jeshi la south Africa limeua kama sisimizi vijana wa m23. Naweka video yake hapa chini.
KAZI ni kipimo cha UTU
1.Mbona video Kam ya AI?
2.Na pia kwenye hizo operation Air- operation zinaruhusiwa?
 
Kagame kawapa mafunzo vijana m23 kwa muda mchache na wameiva kiasi cha kupambana na Tanzania,South Africa na Malawi.Kagame ni kichwa atawaumiza huyu,embu mwacheni tu.
Hao ndugu zako M23 wanawafahamu vyema JW, na hawachezi nao... Balaa la JW si dogo ukanda wa Afrika mashariki na kati
 
Kagame anaua vijana wake ni hatari jeshi la south Africa limeua kama sisimizi vijana wa m23. Naweka video yake hapa chini.
KAZI ni kipimo cha UTU
Yaani unadanganywa kirahisi hivyo...😳😳
Huoni hiyo Ni editing 😂😂😂
 
Baada ya show!!
Na hii itakua game gani?
KAZI ni kipimo cha UTU
Duuuh mbona unaakili ndogo hivyo hao Ni wanajeshi wa Congo na washirika wake wanaporwa silaha baada ya kuuwawa...

Walikufa Tisa, kwani ulikuwa wapi habari ya muda mrefu Sana hiyo zaidi ya wiki.
 
Kwaa hio wanalinda amani wanauliwa tu wenyewe hawajibu kitu yaan wao wameenda kufa kwa kigezo cha kulinda amani unauliwa haujibu mapigo kisa unalinda amani? Hahaha
haha jk ndio aliweza kuwafanyizia kagame hawezi kumsahau maisha yake yote alipewa kichapo cha mbwa mwizi, kudeal na kagame unatakiwa uwe muhuni kwa sababu yeye anajifanya hamnazo
 
Sorry napenda kutanguliza maelezo hii video nitakayo weka hapa ni ya kutisha na kuogopesha ni baada ya ndege vita kufanya yake kwa m23. Kisha kikosi cha nchi kavu kikaenda kuakiki maiti vitani.
KAZI ni kipimo cha UTU
Hii vid clip nimeikubali, ni tukio la kweli sio AI.
 
Back
Top Bottom