Nchi tatu zinashindwa na kikosi cha wanamgambo?
Hii si aibu?
Hapana, kule DRC Tanzania, Malawi, Kenya na South wamepeleka Battalion Moja Moja Tena azijakamilika ki muundo wa kivita.
Ata Silaha zinakua ndogo ndogo Yale M( heavy weapons) Mwana ukome hayaja pelekwa.
Wale M 23 wanasaidiwa na Rwanda kwa full scale ya kivita ndio maana Wana sumbua.
Ingawa Rwanda ana Settelite yake ya ulinzi na Vifaa vya kisasa kabisa anavyo wasaidia M 23 katika uwanja wa medani Bado anapoteza askari wengi wa ki nyarwanda.
Kama Izo Nchi zita ingia Congo na full mziki , ni Swala la Mwezi mmoja Kagame atakua amesha kimbia maana atapigwa kutokea pande zote Nne za Nchi ya Rwanda na hatoweza kustahimili.
Zita shuka chopa za kivita na Ndege Vita za kisasa, Ma drone kwa wakati mmoja Hawatoweza kustahimili.
Kwasasa M 23 wanashambuliwa kwa MOTA, Tank na BM tu, mizinga ya Masafa marefu mipya ya kisasa haija Anza kazi.