Na hapo watz wajue jeshi litu halijawahipo kupigana ukitoa kwa amini so maeneo yotenwaliopita wao ni peacekeeper sio battle force on ground msisikilize kelele kama sijui tulienda kongo Sudan sijui Lebanon huko kote ninkufanya Doria tu maana hatanpolisi nao hua wanaenda hatujawahi kuingia vitani wenye macho wataonaUbaya jeshi la kulinda amani linatakiwa kuzuia na sio kushambulia ndio kanuni za kimataifa zinasema hivyo
AI hiyo dogoKagame anaua vijana wake ni hatari jeshi la south Africa limeua kama sisimizi vijana wa m23. Naweka video yake hapa chini.
KAZI ni kipimo cha UTU
Wewe huna akili unatuwekea game unasema ni realistic video?? Shenzi kabisaKagame anaua vijana wake ni hatari jeshi la south Africa limeua kama sisimizi vijana wa m23. Naweka video yake hapa chini.
KAZI ni kipimo cha UTU
Mmh ndo mambo ya AIKagame anaua vijana wake ni hatari jeshi la south Africa limeua kama sisimizi vijana wa m23. Naweka video yake hapa chini.
KAZI ni kipimo cha UTU
Nifah mdogo wangu,unapenda sana mambo ya kibabe,naona wewe hupendi kuonewa au mtu kuonewa.Oyaaaaa, hii noma!
Kuna kajamaa kalifanikiwa kukimbia pale kama kakipona karudi nyumbani!
,π―Ina maana hajapatikana mbabe wa kumchapa kagame
Sasa wewe unaweka video games ili iweje, vijana wajinga wa jamiiforums nao wanaamini ππKagame anaua vijana wake ni hatari jeshi la south Africa limeua kama sisimizi vijana wa m23. Naweka video yake hapa chini.
KAZI ni kipimo cha UTU
Una ufahamu mkubwa wa akili kama umeweza kuliona hilo kwa maandishi tu.Nifah mdogo wangu,unapenda sana mambo ya kibabe,naona wewe hupendi kuonewa au mtu kuonewa.
Mkuu hii video ya kweli hawa ni M23 wanapigwa?Kagame anaua vijana wake ni hatari jeshi la south Africa limeua kama sisimizi vijana wa m23. Naweka video yake hapa chini.
KAZI ni kipimo cha UTU
Mkuu we ni mwongo,video ya kwanza umetuletea game,video ya pili unasema wanajeshi wa M23 wameuawa.Sorry napenda kutanguliza maelezo hii video nitakayo weka hapa ni ya kutisha na kuogopesha ni baada ya ndege vita kufanya yake kwa m23. Kisha kikosi cha nchi kavu kikaenda kuakiki maiti vitani.
KAZI ni kipimo cha UTU
CongoMk23 wanavaa sare zenye bendera ya nchi gani?
Ni ngumu kuelewa, sasa wanalindaje amani kama mapigano yapo?IDF vs Hizbullah vs UNIFIL