Pre GE2025 Mkuu wa Majeshi: Baadhi ya Wakimbizi wamepewa teuzi Serikalini katika nafasi zenye maamuzi

Pre GE2025 Mkuu wa Majeshi: Baadhi ya Wakimbizi wamepewa teuzi Serikalini katika nafasi zenye maamuzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Mkutano wa Saba wa CDF na Makamanda unaofanyika 302 KV Brigade Mess, Mwenge jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Januari, 2024
CDF: VIJANA WETU WA MIAKA 15 HADI 35 WANALENGWA NA WANA MTANDAO WA UGAIDI
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob John Mkunda amesema hali ya ulinzi na usalama ni shwari licha ya uwepo wa matukio ya kigaidi na itikadi kali na kuwa kuna vijana wanaochukuliwa na kwenda kujiunga kwenye makundi ya Kigaidi Nchini DR Congo, Msumbiji na Somalia.

Amesema hayo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan ambaye anashiriki kwenye Mkutano wa Saba wa CDF na Makamanda unaofanyika 302 KV Brigade Mess, Mwenge Jijini Dar es Salaam, leo Januari 22, 2024.

CDF: BAADHI YA WAKIMBIZI WAMEPEWA TEUZI SERIKALINI KATIKA NAFASI ZENYE MAAMUZI
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob John Mkunda amesema kuanzia Januari Mosi, 2023 hadi Desemba 31, 2023 jumla ya Waomba Hifadhi 138,149 walipokelewa Nchini Tanzania.

Ameongeza kuwa imebainika baadhi ya Waomba Hifadhi au Wakimbizi au familia zao wameteuliwa Serikalini katika nafasi zenye maamuzi.

Amesema hayo katika Mkutano wa Saba wa CDF na Makamanda unaofanyika 302 KV Brigade Mess, Mwenge Jijini Dar es Salaam, leo Januari 22, 2024.

RAIS SAMIA: JESHI LIWE TAYARI KUKABILIANA NA CHOCHOTE KITAKACHOJITOKEZA
Rais Samia Suluhu amesema "Ombi langu kwenu (JWTZ) ni kwamba Mwaka huu (2024) na Mwakani (2025) tunatarajia kuwa na chaguzi na hapa ndipo usalama mkubwa ndani ya nchi unapotakiwa kuangaliwa kwa ukaribu zaidi, niwaombe sana Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwenye Kamandi zenu tofauti kujipanga kwa ajili hii.”

Amesema hayo katika Mkutano wa Saba wa Mkuu wa Majeshi-CDF na Makamanda wa Mwaka 2023 Jijini Dar es Salaam, leo Januari 22, 2024.

Ameongeza “Ni chaguzi zinazoshirikisha vyama vingi vyenye nia tofauti, hatuoni kwamba kila kitu kitaenda kama kilivyopangwa, ni vyema tukakaa tayari kukabiliana na chochote kile kitakachojitokeza."

TISS hawaongei kwa mdomo man!!!,,,inawezekana wao ndo wamewapa taarifa JWTZ man!!!!
 
Na hili onyo la utayari wa jeshi kwa ajili ya uchaguzi ujao imekaaje hii?!
 
Kwani mlipoivamia Zanzibar na kuleta watu wa Tanganyika mlikuwa mkiona raha huku mki enjoy ngawira yenu. Mumetuwekea mpaka Raisi kutoka Mkuranga bila kufuata katiba. matokeo yake Karma inaanza kuwatandika . Mtatawaliwa na kila mtu , kwani hao si waafrika wenzenu au vipi tena leo ?? Mkuki kwa nguruwe tu ??
Haya muarabu tumekusikia
 
Hata kama hujanisikia munafrika iweje na unawakataa waafrika wenzako ??
Waafrica gani wakati mnayo ahadi kutoka kwa mudi boy kuwa mtazaliwa waarabu peponi[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Waafrica gani wakati mnayo ahadi kutoka kwa mudi boy kuwa mtazaliwa waarabu peponi
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png

Ujibadilishe ID uandike tu uonekane kuwa nawe upo , wengine Yesu amesema mlizaliwa, ndio hivyo tena si riziki

1706905678080.jpeg
 
Kweli kabisa

Mfano niliwahi kuwa Kambi Fulani hivi ya jeshi.Huko kigoma

Mkuu wa kikosi kilma nikitazama sura yake yaani mtutsi kabisaa!!

Hata jina lake ni Yale yale ya kitutsi.

Kwanza alikuwa haishi Kambini anaishi kigoma mjini.

Kambini anakuja maramoja kwa wiki thena anasepa kigoma.

Mrefu, mweusi, uso mrefu, pua ya kitutsi

Jamaa walikuwa wanasema mhaya ila nimekataa wahaya tunawajua ila yule asili yake reanda au hurundi.
 
Ujibadilishe ID uandike tu uonekane kuwa nawe upo , wengine Yesu amesema mlizaliwa, ndio hivyo tena si riziki

View attachment 2892289
Haaaa bwana mudi boy alimpiga denda hand some boy mmoja nashanga waisiharamu wa siku hizi mnapigana denda kwa kificho ....mudi boy na jesus boy wanachekesha sana
 
Haaaa bwana mudi boy alimpiga denda hand some boy mmoja nashanga waisiharamu wa siku hizi mnapigana denda kwa kificho ....mudi boy na jesus boy wanachekesha sana

Mimi sizibui mitaro tafuta mtu mwengine , Kama unatafuta mtu wa kukuzibua sio JF
 
Kweli kabisa

Mfano niliwahi kuwa Kambi Fulani hivi ya jeshi.Huko kigoma

Mkuu wa kikosi kilma nikitazama sura yake yaani mtutsi kabisaa!!

Hata jina lake ni Yale yale ya kitutsi.

Kwanza alikuwa haishi Kambini anaishi kigoma mjini.

Kambini anakuja maramoja kwa wiki thena anasepa kigoma.

Mrefu, mweusi, uso mrefu, pua ya kitutsi

Jamaa walikuwa wanasema mhaya ila nimekataa wahaya tunawajua ila yule asili yake reanda au hurundi.

Maadamu si mwalabu , wala muzungu , huyo ni Mwafrika mwenzetu , wasiwasi wa kitu gani ??
 
Ujibadilishe ID uandike tu uonekane kuwa nawe upo , wengine Yesu amesema mlizaliwa, ndio hivyo tena si riziki

View attachment 2892289
Mbona hata mudi boy alisema kuhusu jinsia tata kwa waliozaliwa kasome uislamu vizuri utayakuta hayo ...utakuta hadi ma ladyboy mudi kawaelezea
 
Je tatizo hili ni tatizo la kimfumo au kuna dosari hapo uhamiaji?

Nani atapata hasara na nani atafaidika kwa hili?
 
Back
Top Bottom