kilimasera
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 3,068
- 277
- Thread starter
-
- #21
sie vijana wa sasa man JKT tunaisikia tu kwa waliopitia bahati mbaya tumekuta mafunzo yalishafungwa ila tulipenda sana yangeendelea kuwepo!Una umri gani? ....................... Tatizo lako hukuwahi kupitia JKT, daah miaka sita hiki kitu kinakusumbua ?! una kazi ya kufanya?
sie vijana wa sasa man JKT tunaisikia tu kwa waliopitia bahati mbaya tumekuta mafunzo yalishafungwa ila tulipenda sana yangeendelea kuwepo!
Una umri gani? ....................... Tatizo lako hukuwahi kupitia JKT, daah miaka sita hiki kitu kinakusumbua ?! una kazi ya kufanya?
hapo penye bold nimepapenda. kweye gwaride huwa wankusudia kutoa kiapo cha utii na hesjhima zao kwa amiri jeshi mkuu ambaye ndiye commanda in chief wa majeshi yote, hapo ndipo majeshi yote yanapohusika kila jeshi kivyake. ni katika kuonyesha uniformity ndio maana wanafanya mazoezi kwa pamoja laini wakati wa kumatch, kla jeshi linatengeneza gadi zake, hawachanganyiki kuonyesha kuwa ni majeshi tofauti. enzi za mwalimu aliwahi kuwa na ADC kutoka polisi . kwa hiyo kwa suala la nani awe AD linaweza kutoka katika majeshi mengine, ila nadhani wanaona kama ujiko fulani hivi kumchukua toka JWTZ
wakuu kumekuwa na muendelezo wa kuchaguliwa wakuu wa majeshi kutoka jkt kwa miaka mfurulizo.je ni kanuni za majeshi yetu au ni matakwa ya marais wetu.naomba kujuzwa
Kweli mkuu.Mkuu wa majeshi mwingine ni nani? Hata hivyo kama Mwamunyange alieteuliwa na Mkapa kuwa mkuu wa JKT akitokea JW na huko alikua director of millitary intelligence, pia kwa uelewa waangu JKT na JW ni walewale in fact JKT branch ya JW so sioni tatizo mkuu wa majeshi akitoka huko.
Wapo wajuzi watatueleza vizuri zaidi
Mkuu hapo kwenye red siamini kama ni kweli. Hata mfumo wa mafunzo kwa vyombo hivi ni tofauti. Hata hivyo, nashukuru kwa kunijulisha kuwa kabla ya ukuu wa JKT Mwamunyange allikuwa JW. Hii kitu nilikuwa siijui.Mkuu wa majeshi mwingine ni nani? Hata hivyo kama Mwamunyange alieteuliwa na Mkapa kuwa mkuu wa JKT akitokea JW na huko alikua director of millitary intelligence, pia kwa uelewa waangu JKT na JW ni walewale in fact JKT branch ya JW so sioni tatizo mkuu wa majeshi akitoka huko.
Wapo wajuzi watatueleza vizuri zaidi
Mkuu hapo kwenye red siamini kama ni kweli. Hata mfumo wa mafunzo kwa vyombo hivi ni tofauti. Hata hivyo, nashukuru kwa kunijulisha kuwa kabla ya ukuu wa JKT Mwamunyange allikuwa JW. Hii kitu nilikuwa siijui.
Du mkuu umeona hilo?Yupo sahihi,maelezo mazuri yametolewa hapo juu na mkuu mungo.
Mkuu hapo kwenye red siamini kama ni kweli. Hata mfumo wa mafunzo kwa vyombo hivi ni tofauti. Hata hivyo, nashukuru kwa kunijulisha kuwa kabla ya ukuu wa JKT Mwamunyange allikuwa JW. Hii kitu nilikuwa siijui.
Kweli mkuu.
Tanzania tunatatizo kubwa la uelewa kwa vijana wetu, wengine hawajui hata chanzo cha JKT na uhusiano wake na JWTZ.
kuweka rekodi sawa, mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama lazima atoke JW kwa kuwa ndio senior na tunaposema majeshi tunazungumzia jeshi la anga, jeshi la maji, jeshi la nchi kavu, na jeshi la kujenga taifa. Wakati wa magwaride yote ya kitaifa hayo majeshi ndio hutangulia mbele ikiongozwa na jeshi la nchi kavu, polisi na wenzake hufunga tela. anapokuja raisi wa nchi nyingine gwaride linahusu JW peke yao na siku rais anaagwa gwaride linahusu JW peke yao, gwaride la muungano au la uhuru huongozwa na kamanda toka JW mind you kwamba hata hizo guard zina wakuu wao ambao wanachukua amri kutoka kwa mkuu wa parade ambaye anakuwa na cheo cha luteni kanali . Raisi huingia na mkuu wa majeshi uwanjani kwa kuwa naye ni raisi asiyeonekana akitaka kumwondoa rais madarakini hufanikiwa kwakuwa silaha zote kuu zipo chini yake kupitia anga, ardhi na maji. polisi hawezi kuwa ADC wa rais hata siku moja utaratibu lazima atoke JW na awe senior officer yaani anzie cheo cha major na asizidi cheo cha kanali.
Mkuu, nilikuwa sabatical, kama umegonga bull vile!Nina uhakika sana kuwa huwa una michango mizuri kama utaamua kuitoa.
Ila kinachofifisha ni style yako ya uchangiaji imekaa kushambulia zaidi na kuji defend zaidi hata pale ambapo hapana ulazima....hautoi fair ground.
Siku utakapolitambua hili naamini wengi watafaidika sana michango yako....I'm sory but I have to tell this.