Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Tuliishi maisha duni enzi zetu za uaskari kwa ajili ya huyu mzee.
Mkuu ndiyo ukubwa huo; unakumbuka kwenye harusi yako kulikuwa na bia nyingi sana kwenye meza yako huku sisi tuliochanga tumepewa moja tu tena ya moto na juice ya mango ya azamTuliishi maisha duni enzi zetu za uaskari kwa ajili ya huyu mzee.
Alikuwa na huruma, lakini mambo ya maslahi siyo.
Tukilalamika tuongezewe mishahara,
Anamwambia Nyerere... 'Ukiziongezea mshahara zitarewa'...
Lakini yeye hadi kifo kalindwa na kanuni ya marupurupu ya viongozi wastaafu
Mshahara 80% ya Cdf aliyepo ofisini, hela ya mafuta, gari la kumhudumia na kila baada ya miaka mitano, linabadilishwa na kupelekwa jipya, matibabu yake na ya familia, ulinzi na dereva wanajeshi nk.
Apumzike kwa amani.
Sana. Na alikuwa bado ana sauti ya kuweza kusikilizwa na ma Cdf waliopo ofisini.Mkuu hakika- ila ungemuona ungeona bado uaskari ndani yake
Hawa hawakuanza kwa usomi- zilianzia Uprivate mpaka zikafika UGENERALSana. Na alikuwa bado ana sauti ya kuweza kusikilizwa na ma Cdf waliopo ofisini.
Kuna dereva namfahamu , mwaka juzi alipangiwa kwenda kumuendesha.
Sijui alifanya jambo gani la kumfurahisha huyo mzee, maana alipiga simu ya kimamlaka moja kwa moja makao makuu kuamuru askari huyo apandishwe cheo na kweli akapandishwa.
Wanaheshimika mpaka mwisho wao.
Imeleta iliyoletaKwa maoni yako vita ya Kagera imechochea maendeleo au umaskini?
Je, kulikuwa na ulazima kupigana ile vita?
Hakujua tarehe yake ya kuzaliwa,ni guess workHawa hawakuanza kwa usomi- zilianzia Uprivate mpaka zikafika UGENERAL
Ukifika 80, kuanzia hapo maisha ni mateso tu104 yrs jamaa kaexprience mambo mengi sana.
no kwa maeneo aliyozaliwa there is a great possibility and reason to believe his recordsHakujua tarehe yake ya kuzaliwa,ni guess work
Nyerere mwenyewe mtoto wa chief tarehe ya kuzaliwa hazijulikani itajulikana ya musuguri?!no kwa maeneo aliyozaliwa there is a great possibility and reason to believe his records
Inategeme umeishi vipi kuazia age 01_79Ukifika 80, kuanzia hapo maisha ni mateso tu
Nina wazee wengi kwenye kaya yangu,naona,wapo wa 70,80,90, haijalishi waliiishi vipiInategeme umeishi vipi kuazia age 01_79
Kwa sasa kafa na 104RIP. ndio yule mwenye miaka 100+ au nachanganya mambo?
Na nyumba iko kama unaenda bwaloni (kushoto kabla hujafik kituo ha daladala ku a njia inapandishaana nyumba huko)Mwanba kweli kweli mpka mbezi kuna eneo limepewa jina lake
Ni kama una maelezo ya ziada kuwahusu wawili hawa uliowataja kwenye comment yako. Kuna mambo mengi sana comment yako inayaelezea japo kwa simple but very clearInawezekana. Inasemekana walikuwa wanamdanganya Nyerere asiachie madaraka, bado anastahili kuongoza. Hawa watu wa kule, enzi za utawala wa awamu ya kwanza, nao walikuwa wakubwa sana.
RIEP Edward Sokoine. RIEP General Musuguri. Haya maisha hakuna anayeishi milele