Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Ndiyo maana huwa napenda kusema tusubiri hadi jamii mafuvu yatakaporudishiwa akili,uko sahihi sana gentleman,
Na hiyo hata kwenye maisha halisi ya kawaaida ya mwanadamu, changamoto zinaweza kumboost akawa imara zaidi na madhubuti zaidi katika kukabiliana na maisha ya kila siku lakini pia akafanikiwa zaidi ๐
Tatizo ni pale ambapo moja anataka kufanikiwa mbele ya wengine bila changamoto. na mbaya zaidi kwa kwa kudhihirisha majivuno, majigambo na huku akibeza uwezo mdogo wa wengine kwa kuhisi au kufikiria tu, ama kuwatazama walivyo na maisha yao tu..
Hii huamsha hasira ๐
Haiwezekani maana jeshi lote wanawekana wanojuana mabinamu na wajomba ambao ndio waofisa wa vyeo vya juu hawa wengine mnaishia huko chini..hofu yangu ni kwamba majigambo yake yanaweza kuwaudhi maafisa vijana wenzake na hata wazee wazoefu na wenye nguvu humo humo UPDF ambao pia wanaweza kupanga mapinduzi na ikasababisha hali mbaya zaidi uganda ๐
ikitokea hivyo raia wote wa UGANDA wataunga mkono mapinduzi hayo coz wameichoka sana familia ya m7.
Ali Bongo Odimba wa hapo Gabon, si alitinduliwa na mtoto wa dada yake kabisa gentleman?๐Haiwezekani maana jeshi lote wanawekana wanojuana mabinamu na wajomba ambao ndio waofisa wa vyeo vya juu hawa wengine mnaishia huko chini..
However nakubali hakuna marefu yasio na ncha naona kabisa utawala wa mseven & family ukifika mwisho hapo uganda muda sio mrefu.
huko ni kukataa tamaa, kukosa ubunifu, ushawishi wa mawazo mapya na fikra mbadala.Ndiyo maana huwa napenda kusema tusubiri hadi jamii mafuvu yatakaporudishiwa akili,
Hiv huyu mwama ana age inasoma ngapi??unapotosha gentleman, tena wazi wazi tu ๐
Nimeichukua hiyo ya kanyaga twendehuko ni kukataa tamaa, kukosa ubunifu, ushawishi wa mawazo mapya na fikra mbadala.
Meaning you are completely done, you are now kanyaga twende tu bora liende dah ๐คฃ
Huyu jamaa amezaliwa Dar es salaam sijui ni hospital gani, Lakini na ana umri wa miaka50 sasa.Hiv huyu mwama ana age inasoma ngapi??
CV yake inaweza ikawa japo inaendana na akina Nkunda, mabeyo, mwamunyange???
Naongelea uongozi wa Musababorn1974,
ana 50yrs of age now gentleman ๐
Kwenye Mabara yenye watu, huwezi kutoa kauli kama hiyo ukaendelea kubaki salama. Only in Africa.una kufuru,
wana makosa gani waAfrica hadi wawe kima gentleman? ๐
weweC&P
Mkuu wa Majeshi wa Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza rasmi kuwa hatagombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2026, isipokuwa ataelekeza nguvu zake jeshini huku akimuunga mkono baba yake, Rais Yoweri Museveni, ambaye anatarajiwa kugombea tena urais mwaka huo.
Kupitia akaunti yake rasmi ya mtandao wa X, Muhoozi ameeeleza kuwa Mungu alimwelekeza aelekeze nguvu zake kwenye jeshi ili kuwalinda raia wa Uganda.
"Ningependa kutangaza kuwa sitakuwa kwenye karatasi ya kura mwaka wa 2026. Mwenyezi Mungu aliniambia nijikite kwanza kwenye Jeshi lake. Kwa hivyo, namuunga mkono kabisa Rais Yoweri Museveni katika uchaguzi ujao", ameeleza Gen. Muhoozi.
Katika taarifa yake, Muhoozi ameonekana kuweka wazi kuwa ataendelea kutumikia kama Mkuu wa Majeshi akisema kuwa hakuna kitu kitakatifu zaidi hapa duniani kuliko Jeshi la wananchi wa Uganda (UPDF).
"Kwa hiyo, siwezi kufikiria heshima kubwa zaidi kuliko kuwa sehemu ya UPDF. Ni ardhi takatifu!! Mungu ibariki UPDF takatifu na Uganda yenye baraka mileleโ, alisema Muhoozi.
Rais Yoweri Museveni (80) ambaye anatarajiwa kugombea tena urais mwaka 2026, alichaguliwa tena kwa muhula wa sita mwaka 2021, baada ya kuwa madarakani tangu mwaka 1986.
Licha ya tangazo hili, haijulikani kwa nini Muhoozi alibadili uamuzi wake wa kugombea urais, jambo ambalo limewashangaza mashabiki wake wengi waliokuwa tayari kuanza kampeni za kumuunga mkono.
Mwaka 2023, Muhoozi alitangaza nia yake ya kugombea urais mwaka 2026 akisisitiza kuwa ni wakati wa kizazi kipya kuchukua hatamu za uongozi kwa kuwapumzisha wazee.
"Kwa jina la Yesu Kristo Mungu wangu, kwa jina la vijana wote wa Uganda na dunia, na kwa jina la mapinduzi yetu makubwa, nitasimama kugombea urais mwaka 2026โ, ameandika Muhoozi.
Uchaguzi wa mwaka 2026 unatarajiwa kuvutia wagombea mashuhuri kama mwanamuziki aliyegeuka mwanasiasa, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, na Dk. Kizza Besigye, hata hivyo kauli nyingine ya Muhoozi huenda ikabadili mwelekeo wa siasa za Uganda.
Amesema kuwa kamwe vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Uganda havitaruhusu raia kushika madaraka ya Urais pindi baba yake atakapoamua kutokugombea.
"Hakuna raia atakayeongoza Uganda baada ya Rais Museveni. Vikosi vya usalama havitaruhusu hilo. Kiongozi ajaye atakuwa mwanajeshi au polisi", Gen Muhozi Kainerugaba aliandika hivyo kwenye ukrasa wake wa X , hapo majuzi.
Je, kwamba utawala wa kiraia ni ndoto ya mchana Uganda?
Au anahamasisha ujasiri kwa vijana majeshini kujiandaa kuchukua hatamu za uongozi wa kisiasa kwa muda muafaka, au ni maandalizi ya mapinduzi ya kidemokrasia Africa mashariki?๐
Mungu Ibariki Tanzania
Huyo jamaa ni mtu mtata ana fikra za kijivuni za kitutsi. Nina shaka kwamba ni mtu mlevi pombe inamchanganya kichwa. Sasa unafikiri angetangaza kugombea urais wakati baba yake anagombea na ndiye mtu anamtayarisha yeye kurithi madaraka? Anataka watu wafikiri kwamba kutogombea yeye 2026 ni habari kubwa wakati hapohapo kasema baba yake mwenye miaka 80 atagombea urais.C&P
Mkuu wa Majeshi wa Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza rasmi kuwa hatagombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2026, isipokuwa ataelekeza nguvu zake jeshini huku akimuunga mkono baba yake, Rais Yoweri Museveni, ambaye anatarajiwa kugombea tena urais mwaka huo.
Kupitia akaunti yake rasmi ya mtandao wa X, Muhoozi ameeeleza kuwa Mungu alimwelekeza aelekeze nguvu zake kwenye jeshi ili kuwalinda raia wa Uganda.
"Ningependa kutangaza kuwa sitakuwa kwenye karatasi ya kura mwaka wa 2026. Mwenyezi Mungu aliniambia nijikite kwanza kwenye Jeshi lake. Kwa hivyo, namuunga mkono kabisa Rais Yoweri Museveni katika uchaguzi ujao", ameeleza Gen. Muhoozi.
Katika taarifa yake, Muhoozi ameonekana kuweka wazi kuwa ataendelea kutumikia kama Mkuu wa Majeshi akisema kuwa hakuna kitu kitakatifu zaidi hapa duniani kuliko Jeshi la wananchi wa Uganda (UPDF).
"Kwa hiyo, siwezi kufikiria heshima kubwa zaidi kuliko kuwa sehemu ya UPDF. Ni ardhi takatifu!! Mungu ibariki UPDF takatifu na Uganda yenye baraka mileleโ, alisema Muhoozi.
Rais Yoweri Museveni (80) ambaye anatarajiwa kugombea tena urais mwaka 2026, alichaguliwa tena kwa muhula wa sita mwaka 2021, baada ya kuwa madarakani tangu mwaka 1986.
Licha ya tangazo hili, haijulikani kwa nini Muhoozi alibadili uamuzi wake wa kugombea urais, jambo ambalo limewashangaza mashabiki wake wengi waliokuwa tayari kuanza kampeni za kumuunga mkono.
Mwaka 2023, Muhoozi alitangaza nia yake ya kugombea urais mwaka 2026 akisisitiza kuwa ni wakati wa kizazi kipya kuchukua hatamu za uongozi kwa kuwapumzisha wazee.
"Kwa jina la Yesu Kristo Mungu wangu, kwa jina la vijana wote wa Uganda na dunia, na kwa jina la mapinduzi yetu makubwa, nitasimama kugombea urais mwaka 2026โ, ameandika Muhoozi.
Uchaguzi wa mwaka 2026 unatarajiwa kuvutia wagombea mashuhuri kama mwanamuziki aliyegeuka mwanasiasa, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, na Dk. Kizza Besigye, hata hivyo kauli nyingine ya Muhoozi huenda ikabadili mwelekeo wa siasa za Uganda.
Amesema kuwa kamwe vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Uganda havitaruhusu raia kushika madaraka ya Urais pindi baba yake atakapoamua kutokugombea.
"Hakuna raia atakayeongoza Uganda baada ya Rais Museveni. Vikosi vya usalama havitaruhusu hilo. Kiongozi ajaye atakuwa mwanajeshi au polisi", Gen Muhozi Kainerugaba aliandika hivyo kwenye ukrasa wake wa X , hapo majuzi.
Je, kwamba utawala wa kiraia ni ndoto ya mchana Uganda?
Au anahamasisha ujasiri kwa vijana majeshini kujiandaa kuchukua hatamu za uongozi wa kisiasa kwa muda muafaka, au ni maandalizi ya mapinduzi ya kidemokrasia Africa mashariki?๐
Mungu Ibariki Tanzania
Bilashaka anaweza kua anatumia hicho unachosema na for sure ni mjivuni mbaya sana ๐Huyo jamaa ni mtu mtata ana fikra za kijivuni za kitutsi. Nina shaka kwamba ni mtu mlevi pombe inamchanganya kichwa. Sasa unafikiri angetangaza kugombea urais wakati baba yake anagombea na ndiye mtu anamtayarisha yeye kurithi madaraka? Anataka watu wafikiri kwamba kutogombea yeye 2026 ni habari kubwa wakati hapohapo kasema baba yake mwenye miaka 80 atagombea urais.
Mama yenu ashawaweka wakubwa wa majeshi chini ya Dully.C&P