kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Hilo jamaa eti nalo lina mashabiki kabisa huwa sielewi hata linavyoandikaSi.walisema kfa yeriko nyerere kiherehere
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo jamaa eti nalo lina mashabiki kabisa huwa sielewi hata linavyoandikaSi.walisema kfa yeriko nyerere kiherehere
Leta wewe hizo mpyaMnaleta picha za zamani mpya mmezificha wapi?
Usimwamini sana mwanaume aliye na mwanya.Si.walisema kfa yeriko nyerere kiherehere
Kwa hiyo kutokuwepo kwa picha mpya ndio iwe kigezo cha kuleta picha za zamaniLeta wewe hizo mpya
🤔🤔🤔Dah kuna pisi kali hapo mjeda nimemtamani
Wadau hamjamboni nyote?
Mkuu wa majeshi Israel aibuka na kutinga kibabe kwenye kambi ya Jeshi la Israel huko milima ya Golan Leo
---
October 14, 2024
IDF chief visits base hit in ‘serious and painful’ drone strike
IDF Chief of Staff Herzi Halevi talks to soldiers at a Golani base in northern Israel after a deadly Hezbollah drone attack on October 14, 2024 (Israel Defense Forces)
Israel Defense Forces chief of staff Herzi Halevi visits the Golani base that was hit in a deadly Hezbollah drone strike.
The general praises troops for how they handled the attack in which four soldiers were killed and another 58 wounded.
“We are at war and an attack on a training base in the rear is serious with painful results,” says Halevi. “You acted properly in treating and evacuating the wounded and the victims.”
“We continue to fight and train for upcoming [battles],” he says.
PIA SOMA
- Netanyau atinga kambi ya Jeshi la Israel iliyopigwa na drone, aapa kuitandika Hezbollah bila huruma popote walipo Lebanon ikiwemo Beirut
View attachment 3125193
Hizo ni picture/ video za zamani
Dogo tuendelee kufuata maagizo ya Sheikh Kitinku. Tuwateteee Hezbollah kwa hali na maliHizo ni picture/ video za zamani
And 100 othersWadau hamjamboni nyote?
Mkuu wa majeshi Israel aibuka na kutinga kibabe kwenye kambi ya Jeshi la Israel huko milima ya Golan Leo
---
October 14, 2024
IDF chief visits base hit in ‘serious and painful’ drone strike
IDF Chief of Staff Herzi Halevi talks to soldiers at a Golani base in northern Israel after a deadly Hezbollah drone attack on October 14, 2024 (Israel Defense Forces)
Israel Defense Forces chief of staff Herzi Halevi visits the Golani base that was hit in a deadly Hezbollah drone strike.
The general praises troops for how they handled the attack in which four soldiers were killed and another 58 wounded.
“We are at war and an attack on a training base in the rear is serious with painful results,” says Halevi. “You acted properly in treating and evacuating the wounded and the victims.”
“We continue to fight and train for upcoming [battles],” he says.
PIA SOMA
- Netanyau atinga kambi ya Jeshi la Israel iliyopigwa na drone, aapa kuitandika Hezbollah bila huruma popote walipo Lebanon ikiwemo Beirut
View attachment 3125193
Wavaa kobazi walisema eliminatedWadau hamjamboni nyote?

Duh Ila wabongo ni shidaDah kuna pisi kali hapo mjeda nimemtamani
Umehema weka video achana na picha mnato!Wadau hamjamboni nyote?
Mkuu wa majeshi Israel aibuka na kutinga kibabe kwenye kambi ya Jeshi la Israel huko milima ya Golan Leo
---
October 14, 2024
IDF chief visits base hit in ‘serious and painful’ drone strike
IDF Chief of Staff Herzi Halevi talks to soldiers at a Golani base in northern Israel after a deadly Hezbollah drone attack on October 14, 2024 (Israel Defense Forces)
Israel Defense Forces chief of staff Herzi Halevi visits the Golani base that was hit in a deadly Hezbollah drone strike.
The general praises troops for how they handled the attack in which four soldiers were killed and another 58 wounded.
“We are at war and an attack on a training base in the rear is serious with painful results,” says Halevi. “You acted properly in treating and evacuating the wounded and the victims.”
“We continue to fight and train for upcoming [battles],” he says.
PIA SOMA
- Netanyau atinga kambi ya Jeshi la Israel iliyopigwa na drone, aapa kuitandika Hezbollah bila huruma popote walipo Lebanon ikiwemo Beirut
View attachment 3125193
Kwa hiyo mada hii haikuhusu saaana mkuu ila una mengineyo siyo?.Dah kuna pisi kali hapo mjeda nimemtamani
Kwa hiyo mkuu unaamini kwamba mkuu wa majeshi aliuawa na drone za hizbolah siyo.Kwa hiyo kutokuwepo kwa picha mpya ndio iwe kigezo cha kuleta picha za zamani
Mnatumia akili kweli?
Au uongo ndio sehemu ya maisha yenu.
Kutokuamini au kuamini hakuondoi ukweli kuhusu picha ilio letwa ni ya zaman.Kwa hiyo mkuu unaamini kwamba mkuu wa majeshi aliuawa na drone za hizbolah siyo.
Halafu kuna watu wanashinda kununua machapisho yake, ili hali kiakili, kiuchambuzi hayipo huru ni shabiki tu kama mashabiki wengine pia ni propagandistKuna chawa uchwara wa Putin Yericko Nyerere alidanganya kuwa Halevi kauawa na Hisbollah anyway wapi alipo Ismail Kanni? Kamanda wa Quds