Mkuu wa Majeshi ya Luteni Jenerali Herzi Halevi atinga kibabe kambi ya Jeshi la Israel lilopigwa na drone za Hezbollah Golan!

Mkuu wa Majeshi ya Luteni Jenerali Herzi Halevi atinga kibabe kambi ya Jeshi la Israel lilopigwa na drone za Hezbollah Golan!

Wadau hamjamboni nyote?

Mkuu wa majeshi Israel aibuka na kutinga kibabe kwenye kambi ya Jeshi la Israel huko milima ya Golan Leo
---

October 14, 2024
IDF chief visits base hit in ‘serious and painful’ drone strike

IDF Chief of Staff Herzi Halevi talks to soldiers at a Golani base in northern Israel after a deadly Hezbollah drone attack on October 14, 2024 (Israel Defense Forces)

Israel Defense Forces chief of staff Herzi Halevi visits the Golani base that was hit in a deadly Hezbollah drone strike.

The general praises troops for how they handled the attack in which four soldiers were killed and another 58 wounded.

“We are at war and an attack on a training base in the rear is serious with painful results,” says Halevi. “You acted properly in treating and evacuating the wounded and the victims.”

“We continue to fight and train for upcoming [battles],” he says.

PIA SOMA
- Netanyau atinga kambi ya Jeshi la Israel iliyopigwa na drone, aapa kuitandika Hezbollah bila huruma popote walipo Lebanon ikiwemo Beirut

View attachment 3125193
Huyu fala nachojua ni kafaaa ..ngoja niwasiliane na watu wa karibu na makazi yake anapokaa wanipe detail za mazishi ,,napicha za live toka msibani naleta hapaa
 
Hii picha imetoka kwenye liveblog na sio live event na na ndio maana ipo hii tu.

Na kale kavideo cha sekunde 15 unadhani wote hatufatilii.
IMG_3122.jpeg


 
Dah kuna pisi kali hapo mjeda nimemtamani
Na wenyewe ni binadamu; omba namba tu bro.

Hawa jamaa ukiwatazama vizuri unaona kabisa wana ARI ya kuipigania nchi yao; sina hakika majeshi mengine huaga yapo hivo

Halafu; si kuna uzi humu uko hapa kwamba huyu jamaa aliuawa jana? Kafufuka?
 
Kuna chawa uchwara wa Putin Yericko Nyerere alidanganya kuwa Halevi kauawa na Hisbollah anyway wapi alipo Ismail Kanni? Kamanda wa Quds
inafurahisha sana kuona hakuna anayepinga kwamba kipigo heavy cha kisasa kiliangushwa kwenye hiyo kambi kutoka hezbollah kama mnavyopingaga vipigo vingine vilivyopita,mmeona kujibanza kwa huyo Halevi kisa hakufa

mpk kuzagaa kwa hizo taarifa za yeye kufa kwenye hilo shambulio inaonekana alikuwepo kwenye hiyo kambi mda mchache kabla ya tukio....pengine tu alipata taarifa za hilo shambulio akaona akimbie awaache vijana wadogo waangamie
 
Kwa hiyo kutokuwepo kwa picha mpya ndio iwe kigezo cha kuleta picha za zamani
Mnatumia akili kweli?

Au uongo ndio sehemu ya maisha yenu.
Acha ujinga.

Unaposema hizo ni picha za zamani, na kuna matukio mapya yametokea, kama una akili ulipaswa kuleta hizo picha mpya ili counter attack hizo unazoona ni fake narratives
 
IDF ina askari wa kike warembo, mi nawaomba tu wawaruhusu hao warembo waende likizo, warembo kama hao kuwatandika na mabomu sio vizuri.

Kwel kaka hawa kuwafanya wanajeshi it is a waste of beauty. Ukimuua huyu na bomu unaandikiwa dhambi mara mbili
 
Back
Top Bottom